Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
284
523
Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu kwa vitambulisho vya Elfu 20!!

=====

Maelfu ya wananchi wa Karagwe wamefurika kwenye viwanja vya Kayanga kumshuhudia Mgombea Urais Mheshimiwaa Tundu Lissu kwenye mkutano wa kuomba kura kwa ajili uchaguzi mkuu 2020.

Mheshimiwaa Tundu Lissu akiutubia maelfu ya wananchi wa Karagwe amesema nao haya machache.

Magufuli jana amesema kuwa Vitambulisho vya Machinga sio lazima, sasa Magufuli ameshalegea. Tangu tumeanza shughuli hii mimi nimesema kuwa baada ya tarehe 28 nitaondoa vitambulisho vya machinga. Sasa kwakuwa ameshalegea basi namwambia hvyo vitambulisho viliwekewa sheria iliyotungwa nA waziri wafedha, basi sasa namwambia Magufuli kesho afute ile sheria na kama hata fanya hvyo ni janja Janja.
 
Mh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
 
Najiaribu kukuelewa lkaini bado, simplify kwanza
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom