Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi...
Kama Kuna Uchaguzi ambao CCM inapelekeshwa ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020!
Mhe. Tundu Lissu ameendelea kusambaratisha ngome za CCM kwa hoja nzito ya Kitambulisho Cha Mjasiriamali au MACHINGA...
Lema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.
Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa...
Wanajamvi,
Ninaomba nilete kwenu hoja tatu ni kwanini tusichague Upinzani. Hoja hizo ni Kama ifuatavyo:
1. Njia za kushughulikia janga la korona
2. Kushindwa kuwa mfano kwenye chama na majimbo...
NA MILADY AYO
MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.
1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.
2.Magufuli kapanda ndege za kwenda...
Violence Alert Tanzania Election
"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto...
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa...
Most people don't have time to sit through a whole clip or even read through a whole article or book to pick Nyerere's brain. But quotes are a fast and convenient way to honor this great man and...
Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku...
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA
MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia...
Na Bwanku M Bwanku.
Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika Kata ya Bangwe leo Oktoba 16, 2020.
Zitto ambaye pia ni...
Mwaka 2015 Mh. Magufuli alikuwa anaomba uongozi wa nchi kwa mara ya kwanza. Alikuwa Bandidu hasa na style ya push ups kuonesha kuwa yuko imara kiafya kuliko mpinzani wake mkubwa Eddo Lowassa...
IGP SIRRO ATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
"Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale...
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3...
Nimesikia Mara kadhaa, neno hili likitamkwa na Mgombea Uraisi wa Chama cha Upinzani Zanzibar.
Tena sio kwenye Kampeni hizi tu. Hata Kampeni za vipindi vilivyopita amekua akilitamka Sana...
KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI.
SEHEMU 1: UTANGULIZI.
Makala...
Huyu mzee nae ni kama Gwaji boy tu kumbe ni mwanasiasa alafu anaonekana ni ccm kabisa.
Mnejaribu kufuatilia makala zake hasa kipindi hiki nikagundua wazi kabisa anawashawisi waumini wamchague Jiwe...