NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA"
IRINGA MJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na...
Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie...
NJOMBE- WANGING'OMBE
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila...
Mtu hawezi sema anawaheshimu wananchi bila kuheshimu kura zao..
Kulazimisha matokeo ambayo yapo kinyume na wananchi watakavyopiga kura sio Tu ni dharau Kwa wananchi vile vile ni uthibitisho kuwa...
Taifa letu kwa sasa kuna uchaguzi lakini kuna jambo ambalo si tu kwamba lakijinga bali ni lakishetani sana, katika mitazamo ya kawaida unaweza ukadhani vijana wamevutishwa...
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.
Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya...
Habari za leo.
Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.
Mgombea udiwani Kata...
Imeandikwa kwenye Biblia takatifu, katika kitabu cha Mithali, sura ya 14:34 nanukuu kama ifuatavyo "Haki huliinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Kwa maandiko hayo ya...
Je Wajua?
Uchaguzi mkuu mwaka 2015 Jimbo la Same Magharibi
John Pombe Magufuri 24,082
Edward Lowasa. 19,277
Tanbihi: Hawa kwa mara ya kwanza CCM ilikuwa inajishindanisha kwa kuwa na wagombea...
Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?
"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa...
SALAAM KUTOKA LAMADI KWENDA CHATO ALIKOPUMZIKA MGOMBEA WA CCM NDG. MAGUFULI.
Ndg, mgombea na Mh. Rais salaam sana. Hivi majuzi umekuwa kwenye ziara ya mikutano yako ya kampeni kwa mikoa ya...
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni...
Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.
Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa...
Nikiwa mpenzi na sio mwanachama wa CHADEMA, Kwa kipindi hiki cha uchaguzi nimetimiza wajibu wangu kwa kuwaombea Kura Rais mtarajiwa Lissu na Madiwani watarajiwa wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa...
Kuna Mambo ya ajabu nimeyashuhudia na ninaendelea juu ya huyu Lissu na Chadema yake.
Habari zake za kampeni zilikua zinahujumiwa na baadhi ya Vyombo vya habari zisitoke au kupungua umuhimu,lakini...
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.