Kitambulisho cha Mjasirimali ni mwiba kwa CCM

Kitambulisho cha Mjasirimali ni mwiba kwa CCM

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,202
Reaction score
9,820
Kama Kuna Uchaguzi ambao CCM inapelekeshwa ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020!

Mhe. Tundu Lissu ameendelea kusambaratisha ngome za CCM kwa hoja nzito ya Kitambulisho Cha Mjasiriamali au MACHINGA kwa kudai kwamba VITAMBULISHO hivo Ni Ufisadi kwa vile vilitolewa bila Risiti na havina:
1. Jina la mmiliki.
2. Picha ya mmiliki.
3. Sahihi ya mmiliki.
4. Tarehe ya Kuzaliiwa.
5. Anwani ya mmiliki.




Lissu amedai Magufuli amekuwa akitengeneza Bulioni 30 kwa mwaka Fedha isiyojulikana inakwenda wapi maana haitolewi stakabadhi yoyote.
Kama wiki 2 zilizopita Magufuli alianza kuvikana VITAMBULISHO hivo akisema siyo lazima mtu kuwa nacho!!!
 
Back
Top Bottom