Uchaguzi 2020 Kura za Maruhan kuhamia na Bara?

edwardbm

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
292
251
Nimesikia Mara kadhaa, neno hili likitamkwa na Mgombea Uraisi wa Chama cha Upinzani Zanzibar.

Tena sio kwenye Kampeni hizi tu. Hata Kampeni za vipindi vilivyopita amekua akilitamka Sana.

Sijaelewa, au huwasimuelewi. Kura za Maruhan ni kura gani hizo.

Maruhan ninavyofahamu Mimi si ni kama Mapepo. Je, Ni kweli huwa zipo, na zinaweza kuwaongezea Kura Chama pinzani na Chake, ambacho Ni Chama tawala huko Zanzibar? Na mbona Bongo hazipo, ama sijawahi kuzisikia?

Kama hazikuwepo. Hii ya Zanzibar kupiga Kura kwa siku mbili tofauti. Au ndio mpango wa kuleta hizo Kura na huku bara?
 
Back
Top Bottom