Sioni tofauti kati ya Gwajima na Gamanywa

Mr Smart Money

Senior Member
May 21, 2018
106
148
Huyu mzee nae ni kama Gwaji boy tu kumbe ni mwanasiasa alafu anaonekana ni ccm kabisa.
Mnejaribu kufuatilia makala zake hasa kipindi hiki nikagundua wazi kabisa anawashawisi waumini wamchague Jiwe duuh.
Njaa mbaya
FB_IMG_16028441534838056.jpg
FB_IMG_16028442275921917.jpg
 
Back
Top Bottom