Uchaguzi 2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,381
Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .

Subpost 2 - Asante sana Kijiji cha Kapunga, Itamboleo. Mmenipa heshima sana!  - S ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 4 - Asante sana Kijiji cha Kapunga, Itamboleo. Mmenipa heshima sana!  - S ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 6 - Asante sana Kijiji cha Kapunga, Itamboleo. Mmenipa heshima sana!  - S ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 5 - Asante sana Kijiji cha Kapunga, Itamboleo. Mmenipa heshima sana!  - S ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Asante sana Kijiji cha Kapunga, Itamboleo. Mmenipa heshima sana!  - S ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Asante sana Kijiji cha Kapunga, Itamboleo. Mmenipa heshima sana!  - S ( 426 X 640 ).jpg
 
Hivi hizi picha za mikutano ya kampeni ya Chadema za mwaka 2020 ni bora zaidi kuliko 2015? Kazi mnayo wapinzani uchwara! Hata Lissu mwenyewe ameshakata tamaa sema ni vile tu inabidi akamilishe ratiba ya kampeni. Ndio maana Magufuli ameona asipoteze muda kwa kwenda mikoa ambayo tayari kuna kura za kutosha kabla hata ya kampeni. Upinzani huu uchwara kuing'oa ccm madarakani mimi nitahama nchi kwa mshangao! tarehe 28/10/2020 MAGULI MAPEEEEMA IKULU!
 
Back
Top Bottom