Upinzani Tanzania utashinda tu na kuiondoa CCM 'Madarakani' kama ikianza na haya Muhimu na si blah blah zao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,925
2,000
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie CCM kama Mtaji wao Kujiimarisha Kisiasa kwani CCM iko mbali nao sana tu
5. Kipaumbele chao kiwe kuwa na Wabunge wengi na siyo Urais kwani Urais unahitaji Mikakati mipana
6. Agenda zao nyingi ziwe za Kuulinda Umoja wetu na si Kutugawa jambo ambalo hata Muasisi Wetu alilikemea
7. Wapunguze Uzushi na Kushambulia Dola ( Serikali ) ili kupata Huruma ya wale wanaowaamini

Leo GENTAMYCINE nawaambieni 'Wapinzani' msipoyafanya Kazi haya kila Siku 'mtalalamika' mnaibiwa 'Kura' au 'Mnanyanyasika' na Chama Tawala.
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,244
2,000
28/10 itaamua...
Lakin tukubali ukweli toka kuanza uchaguzi wa chama vingi tjis.time tumepata upinzani haswaa

Sababu kubwa licha ya uzimahi wote lakini Lissu ameonyesha ni mtu jasiri, anayejua anachokitaka na ndio mana hajawahi kuwa na kauli mbili mbili kwenyw kampeni zake.

Yupo tayari kuleta mapinduzi ya kweli kisiasa kwa kuipumzisha CCM. Kwa upande wa Pili anapata mteremko kwasabb wananchi wamechoka wanahitaj mabadiliko. Wamechoka kuahidiwa kujengewa shule na hisp miaka 50+ ya uhuru sasa. Matatizo ni yale yale uchaguzi ukiisha yanalazwa ukianza yanaamshwa

Kubwa kuliko yote kuna lile bomu la vijana ambalo limeona ndani ya CCM hawawez kupata hifadhi kwasabb ya mtazamo wao wa kupenda haki wakaamua kufunga mkono upinzani. Hawa wanajua wana nafasi kubwa ya kuongoz a ikiwa upinzani utapata ridhaa. Vijana hawa ni mtaji mkubwa sana kwa CHADEMA.

Sasa TATIZO KUBWA NILIONALO
KWELI CCM IKOTAYARI KUACHA HUU MKATE UENDE CDM NDIO WAWE WAGAWAJI N.A. SIO CCM KAMA ILIVYOZOELEKA?

Kwa visiwan tayar mtalii kesh a kosa lake sijui kwa bara
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
5,512
2,000
Haya maneno ni kila uchaguzi. Kibaya zaidi huwa tunasahau mapema
28/10 itaamua...
Lakin tukubali ukweli toka kuanza uchaguzi wa chama vingi tjis.time tumepata upinzani haswaa

Sababu kubwa licha ya uzimahi wote lakini Lissu ameonyesha ni mtu jasiri, anayejua anachokitaka na ndio mana hajawahi kuwa na kauli mbili mbili kwenyw kampeni zake. Yupo tayari kuleta mapinduzi ya kweli kisiasa kwa kuipumzisha CCM. Kwa upande wa Pili anapata mteremko kwasabb wananchi wamechoka wanahitaj mabadiliko. Wamechoka kuahidiwa kujengewa shule na hisp miaka 50+ ya uhuru sasa. Matatizo ni yale yale uchaguzi ukiisha yanalazwa ukianza yanaamshwa
Kubwa kuliko yote kuna lile bomu la vijana ambalo limeona ndani ya CCM hawawez kupata hifadhi kwasabb ya mtazamo wao wa kupenda haki wakaamua kufunga mkono upinzani. Hawa wanajua wana nafasi kubwa ya kuongoz a ikiwa upinzani utapata ridhaa. Vijana hawa ni mtaji mkubwa sana kwa CDM.
Sasa TATIZO KUBWA NILIONALO
KWELI CCM IKOTAYARI KUACHA HUU MKATE UENDE CDM NDIO WAWE WAGAWAJI N.A. SIO CCM KAMA ILIVYOZOELEKA?

Kwa visiwan tayar mtalii kesh a kosa lake sijui kwa bara
 
Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
579
1,000
Huu tunasema ni ukweli mchungu! Japo hawapendi kusikia! Upinzani wa nchi hii kuchukua nchi bado sana , wajipange kujiimarisha toka chini na kuwa kitaasisi zaidi!.Sio kuwa chama mtu fulani. Yaani wanawaza kushinda Urais , wakati kupata angalau majimbo ishirini tu kati ya 360 mtihani!.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,310

Huku bara tokea 2010 hakuna kipindi CCM wameshinda kihalali. Hyo 2010 yenyewe Kikwete alipata 46% na Slaa 44%!!
Kwahiyo hizi kauli huwa zina uhalisia but zinazimishwa na tume otherwise tungekua na wagombea kma Lissu tokea 2010 nadhani kufikia 2015 CCM ingeogopa kumwaga damu na ingeachia ikulu.
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,244
2,000
Haya maneno ni kila uchaguzi. Kibaya zaidi huwa tunasahau mapema
This time people are tired and they are ready to take action.

Sasa CCM wasichojua ni kwamba kutomuamini kwao kuwa wAtu wanatakA mabadiliko ya kweli ni makosa.
Miaka ya kudanganywa kwa shanga na sahan za.udongo imepitwa. Na wakati.

Watu wanataka uwajibikaji wa kweli wenye tija.

LET'S VOTE CCM OUT OF THE OFFICE
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,310
2,000
Huu tunasema ni ukweli mchungu! Japo hawapendi kusikia! Upinzani wa nchi hii kuchukua nchi bado sana , wajipange kujiimarisha toka chini na kuwa kitaasisi zaidi!.Sio kuwa chama mtu fulani. Yaani wanawaza kushinda Urais , wakati kupata angalau majimbo ishirini tu kati ya 360 mtihani!.
Hayo majimbo 20 kwa tume ipi? Au mnadhani hayo majimbo walioshinda ndio pekee waliongoza kura?

Pia Felix tshesekedi ameshinda urais ilihali chama cha kabila kimeshinda majority ya bungeni kwa mbali sana.

Sababu kubwa ni majimbo ya mijini yenye wapiga kura wengi huwapa kura upinzani. Mfano kura za Mnyika,Kubenea na Mdee pekee zimezidi kura za majimbo yote 50 ya Zanzibar . ko unaweza ona ubunge sio indicator ya kura za Urais
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,060
2,000
Wewe nawe mburura tu, una akili gani za kumzidi Lissu kisiasa?

Acha wafanye kile wanachoweza kukifanya, na kushinda tunashinda uchaguzi huu.
 
law healer

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
502
1,000
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie CCM kama Mtaji wao Kujiimarisha Kisiasa kwani CCM iko mbali nao sana tu
5. Kipaumbele chao kiwe kuwa na Wabunge wengi na siyo Urais kwani Urais unahitaji Mikakati mipana
6. Agenda zao nyingi ziwe za Kuulinda Umoja wetu na si Kutugawa jambo ambalo hata Muasisi Wetu alilikemea
7. Wapunguze Uzushi na Kushambulia Dola ( Serikali ) ili kupata Huruma ya wale wanaowaamini

Leo GENTAMYCINE nawaambieni 'Wapinzani' msipoyafanya Kazi haya kila Siku 'mtalalamika' mnaibiwa 'Kura' au 'Mnanyanyasika' na Chama Tawala.
Huu ndio uhalisia.
Endapo watashindwa kuyafanikisha hayo sidhani kama Chama cha Upinzani kitakuja kuiongoza Nchi hii.

Kudos Mkuu.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,470
2,000
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie CCM kama Mtaji wao Kujiimarisha Kisiasa kwani CCM iko mbali nao sana tu
5. Kipaumbele chao kiwe kuwa na Wabunge wengi na siyo Urais kwani Urais unahitaji Mikakati mipana
6. Agenda zao nyingi ziwe za Kuulinda Umoja wetu na si Kutugawa jambo ambalo hata Muasisi Wetu alilikemea
7. Wapunguze Uzushi na Kushambulia Dola ( Serikali ) ili kupata Huruma ya wale wanaowaamini

Leo GENTAMYCINE nawaambieni 'Wapinzani' msipoyafanya Kazi haya kila Siku 'mtalalamika' mnaibiwa 'Kura' au 'Mnanyanyasika' na Chama Tawala.
Wewe hayo madaraka huyataki ?
 
Fahari

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
904
1,000
28/10 itaamua...
Lakin tukubali ukweli toka kuanza uchaguzi wa chama vingi tjis.time tumepata upinzani haswaa

Sababu kubwa licha ya uzimahi wote lakini Lissu ameonyesha ni mtu jasiri, anayejua anachokitaka na ndio mana hajawahi kuwa na kauli mbili mbili kwenyw kampeni zake. Yupo tayari kuleta mapinduzi ya kweli kisiasa kwa kuipumzisha CCM. Kwa upande wa Pili anapata mteremko kwasabb wananchi wamechoka wanahitaj mabadiliko. Wamechoka kuahidiwa kujengewa shule na hisp miaka 50+ ya uhuru sasa. Matatizo ni yale yale uchaguzi ukiisha yanalazwa ukianza yanaamshwa
Kubwa kuliko yote kuna lile bomu la vijana ambalo limeona ndani ya CCM hawawez kupata hifadhi kwasabb ya mtazamo wao wa kupenda haki wakaamua kufunga mkono upinzani. Hawa wanajua wana nafasi kubwa ya kuongoz a ikiwa upinzani utapata ridhaa. Vijana hawa ni mtaji mkubwa sana kwa CDM.
Sasa TATIZO KUBWA NILIONALO
KWELI CCM IKOTAYARI KUACHA HUU MKATE UENDE CDM NDIO WAWE WAGAWAJI N.A. SIO CCM KAMA ILIVYOZOELEKA?

Kwa visiwan tayar mtalii kesh a kosa lake sijui kwa bara

Mkuu bado hiyo haitoshi,kuna vizingiti vizito mbele yao sina uhakika wataweza kuvivuka.(1) mawakala, je wana uhakika wa kuwa na wakala ANAYEAMINIKA kwenye kila kituo cha kupigia kura?

(2) Form za matokeo,je mawakala wao wote watapata form za matokeo ?
(3) Time,je watendaji wa tume kwenye ngazi zote wana utayari wa kutangaza matokeo halisi kama yalivyopatikana kutoka kwenye sanduku la kura?
Bila kuwa na majawabu kwa hayo mambo Matatu hapo juu ni dhahiri "kushinda" uchaguzi ni jambo ambalo ni almost impossible.
 
Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
579
1,000
Hayo majimbo 20 kwa tume ipi? Au mnadhani hayo majimbo walioshinda ndio pekee waliongoza kura?

Pia Felix tshesekedi ameshinda urais ilihali chama cha kabila kimeshinda majority ya bungeni kwa mbali sana.

Sababu kubwa ni majimbo ya mijini yenye wapiga kura wengi huwapa kura upinzani. Mfano kura za Mnyika,Kubenea na Mdee pekee zimezidi kura za majimbo yote 50 ya Zanzibar . ko unaweza ona ubunge sio indicator ya kura za Urais
Naon huelewi? Unashindaje Urais sasa kama ubunge wenyewe tu wanashinda mijini tu! Ndio maana tunasema Upinzani ujijenge kuanzia chini huko kwenye mashina , ambako ndiko waliko CCM! Yaan wawe na uhakika wa kura za vijijini na mijini sio kama ilivyo sasa ! Mnadanganyana bure humu! na kila siku kulalamika mnaibiwa kura , ilhali hamtaki kuambiwa ukweli!.
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,288
2,000
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie CCM kama Mtaji wao Kujiimarisha Kisiasa kwani CCM iko mbali nao sana tu
5. Kipaumbele chao kiwe kuwa na Wabunge wengi na siyo Urais kwani Urais unahitaji Mikakati mipana
6. Agenda zao nyingi ziwe za Kuulinda Umoja wetu na si Kutugawa jambo ambalo hata Muasisi Wetu alilikemea
7. Wapunguze Uzushi na Kushambulia Dola ( Serikali ) ili kupata Huruma ya wale wanaowaamini

Leo GENTAMYCINE nawaambieni 'Wapinzani' msipoyafanya Kazi haya kila Siku 'mtalalamika' mnaibiwa 'Kura' au 'Mnanyanyasika' na Chama Tawala.

Huu ushauri hawataupenda hata kidogo. Ungewaambia October 28 wanashinda mapema asubuhi, mpaka saa hizi ungekuwa umeshapewa likes karibu elfu moja!
 
Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,537
2,000
Mwana CCM anatoa ushauri wa ni vip CHADEMA itashinda.. hahahahahaaa.. hiki ni kihoja kingine cha mwaka 2020..!

Ushauri wangu, ngoja 28 ipite.. halafu tutaanza kukusanya maoni.. vinginevyo ngoja ngoma iendelee kuchezwa
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,088
2,000
Naon huelewi? Unashindaje Urais sasa kama ubunge wenyewe tu wanashinda mijini tu! Ndio maana tunasema Upinzani ujijenge kuanzia chini huko kwenye mashina , ambako ndiko waliko CCM! Yaan wawe na uhakika wa kura za vijijini na mijini sio kama ilivyo sasa ! Mnadanganyana bure humu! na kila siku kulalamika mnaibiwa kura , ilhali hamtaki kuambiwa ukweli!.
Kwa akili yako finyu Slaa na Lowasa walipata zaidi ya 40% ya kura kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi (Na hiyo ni baada ya kuchakachua kura) unafikiri hizo ni kura za mijini pekee?
 
WEPON JAMES

Member
Jul 24, 2014
18
45
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie CCM kama Mtaji wao Kujiimarisha Kisiasa kwani CCM iko mbali nao sana tu
5. Kipaumbele chao kiwe kuwa na Wabunge wengi na siyo Urais kwani Urais unahitaji Mikakati mipana
6. Agenda zao nyingi ziwe za Kuulinda Umoja wetu na si Kutugawa jambo ambalo hata Muasisi Wetu alilikemea
7. Wapunguze Uzushi na Kushambulia Dola ( Serikali ) ili kupata Huruma ya wale wanaowaamini

Leo GENTAMYCINE nawaambieni 'Wapinzani' msipoyafanya Kazi haya kila Siku 'mtalalamika' mnaibiwa 'Kura' au 'Mnanyanyasika' na Chama Tawala.

Point Namba 2 ulitakiwa kuispecify zaidi. (Taasisi ya kisiasa): Kupambana kua taasisi ya kisiasa inahusisha sana ulazima wa kuwafikia wananchi wako kupitia shughuli za kijamii pamoja na kufanya mikutano na wananchi wako, ili uweze kujijenga katika akili za watu na kua imara katika mitazamo yao, ndio inapoanza kua very active. Serikali kupitia viongozi wa CCM wamekiblock kabisa hicho kitu ili kisiweze kufanyika kwa sababu wanajua nguvu ya hicho kitu. Kuthibitisha hilo nadhani unaiona nguvu ya chadema pale wanapopata chansi za kufanya mambo hayo.
Point namba 4: Siku zote ili uweze kucompete na mshindani wako ni lazima uweze kumjua vizuri na uweze kutumia mapungufu yake akiambata na kuongeza akili yako lengo ikiwa ni kumshinda mpinzani wako. Chadema haitakiwi kuiacha kuzungumzia na kuyapinga vikali mapungufu ya CCM katika kupingana nao kisiasa. You have to read between the line.
Point namba 6: Chadema haijawagawa watu, Chadema inawaunganisha watu kwa kasi sana. Watu wanaunganika na kua pamoja kwa kasi baada ya kujua ukweli wa mambo pamoja na kufafanuliwa zaidi kwa yale ambayo hayakwendi sawa lakini watu wakawa wamepumbazwa. Nakuomba specify point yako kwa umakini ni kivipi Chadema inawagawa watu, na kivipi CCM inawaunganisha watu.
HOJA MEZANI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom