idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Lema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.
Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa zaidi ya milioni 200.
Leo bila aibu unajitokeza kuomba kuchangiwa kampeni, hii ni aibu ya mwaka mwongope Mungu.
Ina maana hukujiandaa miaka yote hii kuwa 2020 Kuna uchaguzi.?
Mh.Lema kuwa na aibu hata kidogo, huo ni wizi wa mchana kweupe
Huu sawa na ufisadi tu,Jimbo lenyewe Arusha mjini unapiga kampeni unarudi kulala Nyumbani kwako.