Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,835
NA MILADY AYO

MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.

1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.

2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani.

Toka amekuwa Rais amepanda ndege mara 3 tu kwenda nje ya nchi,Yaani Kenya,Uganda na Ethiopia, Rwanda alikwenda kwa gari.

3.Magufuli ananguvu za ajabu,hasa kwa wale ambao wanataka kumkwamisha mara nyingi anagundua njia hizo hata za kishirikina,mfano alipokuwa Waziri wa Ujenzi kwenye mkutano wa TAN ROAD alikataa kukalia kiti ambacho alitengewa,na baada ya mtu mwingine kukikalia akapata madhara.

4.Magufuli alikuwa anakabidhi kwenye TAASISI mbali mbali magari yote aliyokuwa akipewa akiwa Mbunge pia hakuwa na gari binafsi zaidi ya kutumia magari ya Serikali.

5.Magufuli aliwahi kuangusha nyumba ya baba mdogo yake ambaye alijenga barabarani,hakujali kuwa ni baba mdogo.

6.Magufuli anauwezo wa kukalili namba 22 kwa wakati mmoja,Craming Capacity yake iko 89%,wakati normal cramming capacity ya binadamu ni 62%.

7.Magufuli alikuwa anamsapoti sana Dr.Slaa na Kafulila maana walikuwa na upinzani wa maana,kuna muda alikuwa anampa vimemo Kafulila akomae na Escrow ambayo ilionekana ni ya utapeli.

8.Jakaya Kikwete akiwa Rais na Mh.Mizengo Pinda akiwa Waziri Mkuu walikuwa wanatupiana mpira nani amface Magufuli wakati wa kutengua baadhi ya maamuzi katika Wizara yake ya Ujenzi,ilimlazimu Mizengo Pinda kwanza akutane na Kikwete kujadili wanamuanzaje Magufuli kumueleza asibomoe jengo la TANESCO Ubungo.

9.Magufuli aliwahi kwenda Minaki High School kumwadhibu kijana wake aliyetaka kuhama kinyemela kwa kuwa alitaka Shule nyinginezo sizoso za Serikali,akipanga njama na mama yake lakini Magufuli alikataa kata kata nakusema mwanangu atasoma hapa hapa kama wengine wote wanaosoma Shule hizo za Serikali.

10.Magufuli amewahi kumchapa viboko mdogo wake huko nyumbani kwao Chato,kisa kagoma kumuoa mwanamke aliyemchumbia wakati tayari alikuwa amewachangisha michango ya harusi ndugu,jamaa na marafiki.
FB_IMG_1596454955818.jpg

Kwa sifa hizi wewe mwana JF ukiwa Kama Great Thinker unamzungumziaje Mh Magufuli?.
 
Sawa tumekusikia ndugu Magufuli...

Lakini sijaona ajabu hapo zaidi ya ushamba.

Vipi uchumi wetu mbona kimya?
 
...
Toka amekuwa Rais amepanda ndege mara 3 tu kwenda nje ya nchi,Yaani Kenya,Uganda na Ethiopia, Rwanda alikwenda kwa gari.
....
... ile ziara ya SA, Namibia, kisha Zimbabwe ambako ndio mara ya kwanza tangu kuumbwa ulimwengu hotuba kusomwa kwa Kiswahili kwenye uwanja ule nako alienda kwa gari? Hebu basi muwe na kumbukumbu za kutosha kabla ya ku-post.
 
Siku akikutandika wewe viboko nitaongeza jambo la 11 watu wasilolijua kuhusu Magufuli ambalo litakuwa linahusiana na kula kwako bakora
 
Nilitamani kufahamu baada ya kuyafahamu hayo mambo 10 ya huyo Magufuli, Je mwisho wa mwezi huu nitapandishwa daraja sasa nikiwa kama Mtumishi wa Umma? Maana ni miaka mitano sasa Rais wako anapiga tu siasa!

Au ndiyo muendelezo ule ule wa porojo, propaganda na kumtafutia mtu sifa, huku nyingine zikiwa ni za kijinga tu na zisizo na tija yoyote ile kwa Taifa?
 
NA MILADY AYO

2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani.

Toka amekuwa Rais amepanda ndege mara 3 tu kwenda nje ya nchi,Yaani Kenya,Uganda na Ethiopia, Rwanda alikwenda kwa gari.
View attachment 1525936

Kwa sifa hizi wewe mwana JF ukiwa Kama Great Thinker unamzungumziaje Mh Magufuli?.

Iv kuna nchi za nje na nje ya nchi em nielimishe maana naifikilia hiyo point no 2 na 3
 
Sawa tumekusikia ndugu Magufuli...

Lakini sijaona ajabu hapo zaidi ya ushamba.

Vipi uchumi wetu mbona kimya?
Amewezesha nchi yetu kuingia uchumi wa kati. Ina maana hujasikia taarifa hiyo iliyotolewa na world bank!!
 
hiyo picha imemu-summarise, huyu baba namkubali kiasi kwa uthubutu , lakini linapokuja swala la haki, katiba mpya na maono ya mbeleni kwa wajuuu, nafikiri bado yupo myopic sana na picha hiyo yaonesha kwamba hajui ku- anticipate huyo mjukuu au mtoto anatahitaji lini miaka 100 ijayo.

Huu si wakati wetu bali wakati wa kuwalea katika njia njema hao tulio wabeba... kama wewe ni JPM katika uzi huu, waweza kuchukua kura zote ukisema tume katiba mpya, kura huru bila kificho na haki za binadamu mbele.. huu ni wakati wako wa kuacha legacy kwa huyo uliyombeba...
 
MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.

1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.
viongozi wote wa nchi ni hivyo tena magu ndio yupo chini sana hapa
2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani.

Toka amekuwa Rais amepanda ndege mara 3 tu kwenda nje ya nchi,Yaani Kenya,Uganda na Ethiopia, Rwanda alikwenda kwa gari.
huu ni woga wake na pia hawezi kufanya diplomasia na wengine ndio maana anawatuma akina mama Samia
3.Magufuli ananguvu za ajabu,hasa kwa wale ambao wanataka kumkwamisha mara nyingi anagundua njia hizo hata za kishirikina,mfano alipokuwa Waziri wa Ujenzi kwenye mkutano wa TAN ROAD alikataa kukalia kiti ambacho alitengewa,na baada ya mtu mwingine kukikalia akapata madhara.
mambo ya ndumba za watu wa ziwa yanajulikana sana
4.Magufuli alikuwa anakabidhi kwenye TAASISI mbali mbali magari yote aliyokuwa akipewa akiwa Mbunge pia hakuwa na gari binafsi zaidi ya kutumia magari ya Serikali.
wapi
5.Magufuli aliwahi kuangusha nyumba ya baba mdogo yake ambaye alijenga barabarani,hakujali kuwa ni baba mdogo.
visa na ndugu zake na pia anawalipa kwa pembeni
6.Magufuli anauwezo wa kukalili namba 22 kwa wakati mmoja,Craming Capacity yake iko 89%,wakati normal cramming capacity ya binadamu ni 62%.
mmh watu wanaokremu sio wazuri kwenye ubunifu
7.Magufuli alikuwa anamsapoti sana Dr.Slaa na Kafulila maana walikuwa na upinzani wa maana,kuna muda alikuwa anampa vimemo Kafulila akomae na Escrow ambayo ilionekana ni ya utapeli.
lakini sasa hataki kumwona Lissu akikosoa eti anasema hataki matusi
8.Jakaya Kikwete akiwa Rais na Mh.Mizengo Pinda akiwa Waziri Mkuu walikuwa wanatupiana mpira nani amface Magufuli wakati wa kutengua baadhi ya maamuzi katika Wizara yake ya Ujenzi,ilimlazimu Mizengo Pinda kwanza akutane na Kikwete kujadili wanamuanzaje Magufuli kumueleza asibomoe jengo la TANESCO Ubungo.
amezuiliwa hadi leo kwa jengo limebomolewa na hakukuwa na sababu ya kubomoa
9.Magufuli aliwahi kwenda Minaki High School kumwadhibu kijana wake aliyetaka kuhama kinyemela kwa kuwa alitaka Shule nyinginezo sizoso za Serikali,akipanga njama na mama yake lakini Magufuli alikataa kata kata nakusema mwanangu atasoma hapa hapa kama wengine wote wanaosoma Shule hizo za Serikali.
anajua ada ni kubwa shule binafsi
10.Magufuli amewahi kumchapa viboko mdogo wake huko nyumbani kwao Chato,kisa kagoma kumuoa mwanamke aliyemchumbia wakati tayari alikuwa amewachangisha michango ya harus
haya ndio yale mambo ya kienyeji ya magu anataka kufanyia hata mawaziri ndio maana wanakimbilia ubunge
 
NA MILADY AYO

MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.

1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.

2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani.

Toka amekuwa Rais amepanda ndege mara 3 tu kwenda nje ya nchi,Yaani Kenya,Uganda na Ethiopia, Rwanda alikwenda kwa gari.

3.Magufuli ananguvu za ajabu,hasa kwa wale ambao wanataka kumkwamisha mara nyingi anagundua njia hizo hata za kishirikina,mfano alipokuwa Waziri wa Ujenzi kwenye mkutano wa TAN ROAD alikataa kukalia kiti ambacho alitengewa,na baada ya mtu mwingine kukikalia akapata madhara.

4.Magufuli alikuwa anakabidhi kwenye TAASISI mbali mbali magari yote aliyokuwa akipewa akiwa Mbunge pia hakuwa na gari binafsi zaidi ya kutumia magari ya Serikali.

5.Magufuli aliwahi kuangusha nyumba ya baba mdogo yake ambaye alijenga barabarani,hakujali kuwa ni baba mdogo.

6.Magufuli anauwezo wa kukalili namba 22 kwa wakati mmoja,Craming Capacity yake iko 89%,wakati normal cramming capacity ya binadamu ni 62%.

7.Magufuli alikuwa anamsapoti sana Dr.Slaa na Kafulila maana walikuwa na upinzani wa maana,kuna muda alikuwa anampa vimemo Kafulila akomae na Escrow ambayo ilionekana ni ya utapeli.

8.Jakaya Kikwete akiwa Rais na Mh.Mizengo Pinda akiwa Waziri Mkuu walikuwa wanatupiana mpira nani amface Magufuli wakati wa kutengua baadhi ya maamuzi katika Wizara yake ya Ujenzi,ilimlazimu Mizengo Pinda kwanza akutane na Kikwete kujadili wanamuanzaje Magufuli kumueleza asibomoe jengo la TANESCO Ubungo.

9.Magufuli aliwahi kwenda Minaki High School kumwadhibu kijana wake aliyetaka kuhama kinyemela kwa kuwa alitaka Shule nyinginezo sizoso za Serikali,akipanga njama na mama yake lakini Magufuli alikataa kata kata nakusema mwanangu atasoma hapa hapa kama wengine wote wanaosoma Shule hizo za Serikali.

10.Magufuli amewahi kumchapa viboko mdogo wake huko nyumbani kwao Chato,kisa kagoma kumuoa mwanamke aliyemchumbia wakati tayari alikuwa amewachangisha michango ya harusi ndugu,jamaa na marafiki.View attachment 1525936
Umesahau haya mengine muhimu.
11. Toka amekuwa rais kwa kubebwa na Mkapa, serikali yake imehusika na kupotea kwa watu wengi waliomkosoa kidogo tu.
12. Hana karama ya uongozi, sio msikivu yupo na hasira nyingi
13 Ni mbinafsi, mkabila, mdini, na pia anajichukulia fedha za serikali kama zake. Ana sifa ya kupendelea ndugu zake (Nepotism) hasa kwenye madaraka hata kama hawana qualifications.
15 Haeleweki....Yaani ni kigeugeu.

16 Siyo mkweli, kwa maana ya kuwa ni muongo sana.
17 Anasikiliza hearsay bila kuwa na ushahidi na anadanganyika kirahisi.
18 Hana sifa za kuwa rais..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom