Baba wa Taifa,mwalimu Nyerere alieishi maisha ya kawaida alipokuwa Ikulu kwa maana ya kutojipendelea yeye mwwenyewe na hata kutopendelea alikotoka, alifanya hivyo hata katika mavazi kwa maana ya...
Wadau,
Leo mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam. Hata hivyo, haikuwazuia Wananchi wa Majimbo ya Ubungo na Kibamba kwenda kumsikiliza Rais John Magufuli na wagombea Ubunge wa majimbo hayo kwenye...
Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu...
Kwa hakika kama sio DHARAU basi ni KIBURI. Kama sio hivyo viwili, basi ni KUJISAHAU. Na kama sio vyote labda ni Mzoefu wa KUTELEZA ULIMI.
Serikali yoyote inafanya kazi sake kwa kodi toka kwa...
Inakera sana tena sana,sasa hivi kila mwananchi anakosa huduma za msingi, kisa tu uchaguzi na kampeni.
Ukienda kwa wakuu wa Wiaya, Wakurugenzi na hata Watumishi wa afya watakuambia wapo bize na...
Yabainika Fedha ziligawanywa kama njugu
kila Diwani alihongwa milioni 3 tu kubariki biashara
wabunge wote wamehongwa kasoro mdee wa kawe
madiwani wagombana kugombea mgao
Na. Mwandishi wetu...
LAAC ilifikia uamuzi huo jana baada ya kukosa majibu ya maswali kadha iliyotaka kufahamu, kutoka kwa uongozi wa mkoa na jiji la Dar es Salaam, ikiwamo nani ni wamiliki wa Uda. Katika swali hilo...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema wingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni ya wagombea wengine wa urais haumtishi.
Profesa Lipumba amesema hayo...
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya...
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Hivyo...
Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya...
Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli?
Sasa hivi yupo ITV.
===
Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya...
Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano...
Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu.
Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi...
Nimekuwa nikimsikia Tundu Lissu akilalamikia kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020.
Kweli ana haki ya kulalamika maana inawezekana kabisa mawakala wasipewe fomu za matokeo na hivyo kukosa...
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na...
[emoji625]MTAA KWA MTAA NA MKUMBO.[emoji625]
Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo Prof. KITILA MKUMBO akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa kata ya Mabibo na Manzese.
Akisikiliza kero na...
IGP Sirro amewataka wanañchi wa Mtwara kutulia wakati vyombo vya ulinzi vikidhibiti usalama na kuwashughulikia mabedui walioua wananchi wenzetu.
Kamanda Sirro amesema damu ya wananchi waliouawa...
Ni matumaini yangu ya kwamba mnaendelea vizuri na mihangaiko ya hapa na pale. Lengo la kuandika uzi huu ni kuwekana sawa, kueleweshana na kurekebishana hasa kwenye hii dhana ya ucha Mungu kwenye...