Alivyosema Mhadhiri wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. James Jesse

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,870
34,357
Picha.jpg

Mhadhiri wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. James Jesse amesema kitendo cha Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Dk. Shein kumteua Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kinalenga kukizika Chama kikuu cha upinzani cha Wananchi (CUF).

Akizungumza wakati akitolea ufafanuzi kuhusu viongozi watatu wa upinzani kupewa nafasi katika baraza la uwakilishi, Dk. Jesse amesema nafasi aliyoipata Hamad Rashid itasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha chama chake cha ADC na kukididimiza Chama cha Wananchi (CUF).

Amesema hakuna kifungu cha sheria katika Katiba ya Zanzibar kinachomzuia Rais kumteuwa mtu yeyote hivyo anampongeza Dk. Shein kwa kuwateuwa wapinzani katika nafasi za uwaziri na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi kwa kuwa serikali itaimarika kwa kushirikiana na viongozi wenye sifa hata kama wanatoka upinzani.

Hivi karibuni Dk. Shein alifanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kumteuwa Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi huku Juma Ali Khatibu pamoja na Said Soud Said kuwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi.

Baada ya kumsoma Prof. Issa Shivji katika makala iliyochapishwa hivi karibuni katika Gazeti la Raia Mwema, nimezidi kuthibitisha ile dhana kuwa Tanzania ina nakisi kubwa ya mchango wa Wanazuoni katika kuleta MABADILIKO NA USTAWI mwema katika jamii yetu.

Wengi wao (ukiacha baadhi yao ambao wamejipambanua kuwa wanaitambua dhima yao) huwa wanastaajabisha kwa jinsi wanavyokuwa ni sehemu ya kuunga mkono uovu kwa mtindo wa aina yake. Na moja ya njia zao ni kuelekeza lawama kwa MABEBERU kwa kila jambo linaloashiria kushindwa kwetu.

Wanazuoni wetu hawa wamekuwa wakiendeleza tabia ya makusudi ya kujaribu kutuondoa kwenye tatizo la msingi na ambalo ndio kiini cha kushindwa kwetu na kutupiga mzubaisho kuwa kiini cha matatizo yetu ni UBEBERU.

Ukweli ni kuwa matatizo yetu mengi sana ni matokeo ya tabia, nyenendo na udhaifu wetu wenyewe katika kujipangia na kujiendeshea mambo yetu. Badala yake Wasomi wetu hao wamekuwa wabunifu stadi wa kutuelekeza pahala pa kurushia lawama zeru (UBEBERU ); na kwa kufanya hivyo, sio tu kwa madhumuni ya kunusuru TAWALA zetu ambazo ndio khasa zinazostahiki lawama, bali kutufanya tuzionee huruma na tuamshe hamasa za uzalendo. Ni kama mtu anayeamua kufanya mambo kinyume na maamrisho ya Dini yake, halafu akamsingizia IBILIS. Kwa hivyo, IBILIS/BEBERU ndio inayotumika kama sababu au kinga ya kushindwa kwetu?

Kwa mfano, hebu tuchukuliye hili suala la MCC. Kama tutaliangalia kwa makini suala hili, tunaweza kujiuliza kuna ubeberu gani hapa? Aliyevuruga mambo ni BEBERU au Mzee JECHA na wenzake? Profesa wetu kakwepa kwa makusudi kabisa kugundua kiini cha kadhia hii. Hio ndio aina/mtindo wa mzubaisho wanaoutumia Wasomi wetu hao daima.

Ndugu zetu “tuliowapa” madaraka wanafanya ufisadi uliokithiri, wanakandamiza demokrasia, wanavunja haki za binadamu, wanaingia mikataba mibovu, kulindana, upendeleo, wizi wa wazi wazi, upindishaji mambo, ukosefu wa nidhamu, almuradi mambo mchafukoge. Matokeo yake, nchi haina maendeleo, huduma za kijamii ziko duni – halafu, ati unaambiwa kuwa tatizo ni UBEBERU.

Kazi kubwa ya Wanazuoni wetu hawa ni kuenzi na kuwalinda WATAWALA; na pale wanapoamua kukosoa, basi hukosoa baada ya miaka 30 ya MTAWALA kuondoka; huwaoni wala huwasikii kusimama kidete kupaza sauti zao wakati ule ambapo mambo yako motomoto yanaharibika.

Kwa kweli, tuna safari ndefu.

TANBIHI:Makala hii imeandikwa na mwanasheria Awadh Ali Said.
 
View attachment 337134

Nina wasiwasi na uwezo wa huyu dokta hasa katika kufikiri na kuchambua mambo kwa uhalisia
 
NADHANI MFUMO WA ELIMU YA KUKARIRI ILI KUJIBU MTIHANI BADO UNATUSUMBUA NA UTATUSUMBUA,

TUNA WASOMI WACHACHE WANAOELEWA BILA KUKARIRI NA HATA MAZUNGUMZO YAO AU MADA WANAZOTOA ZIA UELEDI MKUBWA SANA NA HAWATETEREKI KUTETEA KILE WANACHOAMINI ...... NA PIA KUNA WASOMI WENGINE WANAUELEWA MKUBWA ILA MAJI YA ILALA WANAYOKUNYWA HUTAWALA KILE WANACHOSEMA MATOKEO YAKE......... LEO ANASEMA NDIO... KESHO HAPANA KATIKA JAMBO HILO HILO...
 
Mfumo wa siasa nchini kwetu,imefanya wasomi wenye mrengo wa kuikosoa serikali kuwa na hali mbaya kimaisha,na wale wanaoisapoti serikali ie.Dr.Bana et al,kuula kimaisha,nakupelekea wasomi wengi kuelekea mrengo wa kuifagilia serikali kwa kila nyanja,hata kama kufagiloa huko kuna kinzana na utu,haki na maendeleo ya binadam
 
View attachment 337134

Mhadhiri wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. James Jesse amesema kitendo cha Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Dk. Shein kumteua Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kinalenga kukizika Chama kikuu cha upinzani cha Wananchi (CUF).

Akizungumza wakati akitolea ufafanuzi kuhusu viongozi watatu wa upinzani kupewa nafasi katika baraza la uwakilishi, Dk. Jesse amesema nafasi aliyoipata Hamad Rashid itasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha chama chake cha ADC na kukididimiza Chama cha Wananchi (CUF).

Amesema hakuna kifungu cha sheria katika Katiba ya Zanzibar kinachomzuia Rais kumteuwa mtu yeyote hivyo anampongeza Dk. Shein kwa kuwateuwa wapinzani katika nafasi za uwaziri na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi kwa kuwa serikali itaimarika kwa kushirikiana na viongozi wenye sifa hata kama wanatoka upinzani.

Hivi karibuni Dk. Shein alifanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kumteuwa Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi huku Juma Ali Khatibu pamoja na Said Soud Said kuwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi.

Huyu Dk ndio hao wa njaa. Aibu kwa vyuo vikuu kuws na stupid Drs. Atakuwa slidoma urusi au cuba
 
Baada ya kumsoma Prof. Issa Shivji katika makala iliyochapishwa hivi karibuni katika Gazeti la Raia Mwema, nimezidi kuthibitisha ile dhana kuwa Tanzania ina nakisi kubwa ya mchango wa Wanazuoni katika kuleta MABADILIKO NA USTAWI mwema katika jamii yetu.

Wengi wao (ukiacha baadhi yao ambao wamejipambanua kuwa wanaitambua dhima yao) huwa wanastaajabisha kwa jinsi wanavyokuwa ni sehemu ya kuunga mkono uovu kwa mtindo wa aina yake. Na moja ya njia zao ni kuelekeza lawama kwa MABEBERU kwa kila jambo linaloashiria kushindwa kwetu.

Wanazuoni wetu hawa wamekuwa wakiendeleza tabia ya makusudi ya kujaribu kutuondoa kwenye tatizo la msingi na ambalo ndio kiini cha kushindwa kwetu na kutupiga mzubaisho kuwa kiini cha matatizo yetu ni UBEBERU.

Ukweli ni kuwa matatizo yetu mengi sana ni matokeo ya tabia, nyenendo na udhaifu wetu wenyewe katika kujipangia na kujiendeshea mambo yetu. Badala yake Wasomi wetu hao wamekuwa wabunifu stadi wa kutuelekeza pahala pa kurushia lawama zeru (UBEBERU ); na kwa kufanya hivyo, sio tu kwa madhumuni ya kunusuru TAWALA zetu ambazo ndio khasa zinazostahiki lawama, bali kutufanya tuzionee huruma na tuamshe hamasa za uzalendo. Ni kama mtu anayeamua kufanya mambo kinyume na maamrisho ya Dini yake, halafu akamsingizia IBILIS. Kwa hivyo, IBILIS/BEBERU ndio inayotumika kama sababu au kinga ya kushindwa kwetu?

Kwa mfano, hebu tuchukuliye hili suala la MCC. Kama tutaliangalia kwa makini suala hili, tunaweza kujiuliza kuna ubeberu gani hapa? Aliyevuruga mambo ni BEBERU au Mzee JECHA na wenzake? Profesa wetu kakwepa kwa makusudi kabisa kugundua kiini cha kadhia hii. Hio ndio aina/mtindo wa mzubaisho wanaoutumia Wasomi wetu hao daima.

Ndugu zetu “tuliowapa” madaraka wanafanya ufisadi uliokithiri, wanakandamiza demokrasia, wanavunja haki za binadamu, wanaingia mikataba mibovu, kulindana, upendeleo, wizi wa wazi wazi, upindishaji mambo, ukosefu wa nidhamu, almuradi mambo mchafukoge. Matokeo yake, nchi haina maendeleo, huduma za kijamii ziko duni – halafu, ati unaambiwa kuwa tatizo ni UBEBERU.

Kazi kubwa ya Wanazuoni wetu hawa ni kuenzi na kuwalinda WATAWALA; na pale wanapoamua kukosoa, basi hukosoa baada ya miaka 30 ya MTAWALA kuondoka; huwaoni wala huwasikii kusimama kidete kupaza sauti zao wakati ule ambapo mambo yako motomoto yanaharibika.

Kwa kweli, tuna safari ndefu.

TANBIHI:Makala hii imeandikwa na mwanasheria Awadh Ali Said.
Shivji naweza nikamtetea kwa vile akiegemea kusema ukweli hasa kuunga mkono upinzani, ataambiwa siyo raia kama walivyomwambia jenerali ulimwengu.
 
Huyo hajui lolote kuhusu siasa za zanzibar yuko kilometa 100000 ni mbumbumbu alipata huo udokta kwa kudesa ni kilaza wa mwisho .msomi asiena uzoefu .eti kuipoteza cuf .huyu anadhani cuf iko kqenye kadi za yanachama .cuf ipo kwenye genetic geans za kizazi cga wazanzibari na ndani ya nyoyo za wazee vijana na watoto wa zanzibari
 
View attachment 337134

Mhadhiri wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. James Jesse amesema kitendo cha Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Dk. Shein kumteua Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kinalenga kukizika Chama kikuu cha upinzani cha Wananchi (CUF).

Akizungumza wakati akitolea ufafanuzi kuhusu viongozi watatu wa upinzani kupewa nafasi katika baraza la uwakilishi, Dk. Jesse amesema nafasi aliyoipata Hamad Rashid itasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha chama chake cha ADC na kukididimiza Chama cha Wananchi (CUF).

Amesema hakuna kifungu cha sheria katika Katiba ya Zanzibar kinachomzuia Rais kumteuwa mtu yeyote hivyo anampongeza Dk. Shein kwa kuwateuwa wapinzani katika nafasi za uwaziri na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi kwa kuwa serikali itaimarika kwa kushirikiana na viongozi wenye sifa hata kama wanatoka upinzani.

Hivi karibuni Dk. Shein alifanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kumteuwa Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi huku Juma Ali Khatibu pamoja na Said Soud Said kuwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi.
Bogus mhadhiri, bogus analysis! Huyu haijui Zbar, hajui maana ya CUF na CCM ya Zbar. Very poor thinking! Hajaweza hata kujiuliza ni kwa nini CCM wanasoteshwa Pemba pamoja na vurugu na mauaji yanayofanywa kila uchaguzi.

Mhadhiri anastahili kuwa ni msomi, siyo mtu wa kusifu na kutikisa kichwa tu,
 
View attachment 337134

Mhadhiri wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. James Jesse amesema kitendo cha Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Dk. Shein kumteua Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kinalenga kukizika Chama kikuu cha upinzani cha Wananchi (CUF).

Akizungumza wakati akitolea ufafanuzi kuhusu viongozi watatu wa upinzani kupewa nafasi katika baraza la uwakilishi, Dk. Jesse amesema nafasi aliyoipata Hamad Rashid itasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha chama chake cha ADC na kukididimiza Chama cha Wananchi (CUF).

Amesema hakuna kifungu cha sheria katika Katiba ya Zanzibar kinachomzuia Rais kumteuwa mtu yeyote hivyo anampongeza Dk. Shein kwa kuwateuwa wapinzani katika nafasi za uwaziri na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi kwa kuwa serikali itaimarika kwa kushirikiana na viongozi wenye sifa hata kama wanatoka upinzani.

Hivi karibuni Dk. Shein alifanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kumteuwa Hamad Rashid kuwa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi huku Juma Ali Khatibu pamoja na Said Soud Said kuwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi.
Kwa nini hamhoji Rais kuteua watu ambao hawakupata kura za kutosha au kwa maneno mengine waliokataliwa na wananchi? Ajabu ni kuwa mnajielekeza katika ndoto za 'kuizika CUF'. Huyu Hamad Rashid nje ya CUF hata ubunge Pemba hasingepata
 
Baada ya kumsoma Prof. Issa Shivji katika makala iliyochapishwa hivi karibuni katika Gazeti la Raia Mwema, nimezidi kuthibitisha ile dhana kuwa Tanzania ina nakisi kubwa ya mchango wa Wanazuoni katika kuleta MABADILIKO NA USTAWI mwema katika jamii yetu.

Wengi wao (ukiacha baadhi yao ambao wamejipambanua kuwa wanaitambua dhima yao) huwa wanastaajabisha kwa jinsi wanavyokuwa ni sehemu ya kuunga mkono uovu kwa mtindo wa aina yake. Na moja ya njia zao ni kuelekeza lawama kwa MABEBERU kwa kila jambo linaloashiria kushindwa kwetu.

Wanazuoni wetu hawa wamekuwa wakiendeleza tabia ya makusudi ya kujaribu kutuondoa kwenye tatizo la msingi na ambalo ndio kiini cha kushindwa kwetu na kutupiga mzubaisho kuwa kiini cha matatizo yetu ni UBEBERU.

Ukweli ni kuwa matatizo yetu mengi sana ni matokeo ya tabia, nyenendo na udhaifu wetu wenyewe katika kujipangia na kujiendeshea mambo yetu. Badala yake Wasomi wetu hao wamekuwa wabunifu stadi wa kutuelekeza pahala pa kurushia lawama zeru (UBEBERU ); na kwa kufanya hivyo, sio tu kwa madhumuni ya kunusuru TAWALA zetu ambazo ndio khasa zinazostahiki lawama, bali kutufanya tuzionee huruma na tuamshe hamasa za uzalendo. Ni kama mtu anayeamua kufanya mambo kinyume na maamrisho ya Dini yake, halafu akamsingizia IBILIS. Kwa hivyo, IBILIS/BEBERU ndio inayotumika kama sababu au kinga ya kushindwa kwetu?

Kwa mfano, hebu tuchukuliye hili suala la MCC. Kama tutaliangalia kwa makini suala hili, tunaweza kujiuliza kuna ubeberu gani hapa? Aliyevuruga mambo ni BEBERU au Mzee JECHA na wenzake? Profesa wetu kakwepa kwa makusudi kabisa kugundua kiini cha kadhia hii. Hio ndio aina/mtindo wa mzubaisho wanaoutumia Wasomi wetu hao daima.

Ndugu zetu “tuliowapa” madaraka wanafanya ufisadi uliokithiri, wanakandamiza demokrasia, wanavunja haki za binadamu, wanaingia mikataba mibovu, kulindana, upendeleo, wizi wa wazi wazi, upindishaji mambo, ukosefu wa nidhamu, almuradi mambo mchafukoge. Matokeo yake, nchi haina maendeleo, huduma za kijamii ziko duni – halafu, ati unaambiwa kuwa tatizo ni UBEBERU.

Kazi kubwa ya Wanazuoni wetu hawa ni kuenzi na kuwalinda WATAWALA; na pale wanapoamua kukosoa, basi hukosoa baada ya miaka 30 ya MTAWALA kuondoka; huwaoni wala huwasikii kusimama kidete kupaza sauti zao wakati ule ambapo mambo yako motomoto yanaharibika.

Kwa kweli, tuna safari ndefu.

TANBIHI:Makala hii imeandikwa na mwanasheria Awadh Ali Said.
I salute you. Good Narration!
 
Back
Top Bottom