Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa BAWACHA , Wanawake katika maamuzi ya Kitaifa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,582
2,000
17 October 2020

Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi

Hapa Tanzania mwenyekiti wa BAWACHA amesema nchi inajitahidi kuwashirikisha wanawake mfano ktk siasa CCM imesimamisha wanawake takribani kinamama 20 kugombea ubunge wakati CHADEMA imesimamisha zaidi ya 60.

Upande wa kijamii kinamama ndiyo waangalizi wa taifa kuanzia ngazi ya familia, ndiyo wanahakikisha afya ya mtoto , kupeleka familia hospitali , kupigia kelele huduma za maji safi na salama ziwe karibu na makazi ya familia zao n.k

Mwenyekiti wa BAWACHA vilevile amesema kina mama hupenda mazingira ya uhuru , haki na Maendeleo ya famiia na hayo huja kama nchi ikizingatia masuala hayo matatu muhimu mtambuka ambayo huleta Amani na utulivu

Chanzo: Swahili Villa
 
lenyu

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
301
500
Naona anafanya shughuli za kijamii kanyaga twende kamanda Mdee kawe ni ww na ww ni kawe.

Naona watu maahetani yamepanda pande izo
Nileteeni biaaa
Nileteeni biaaaaaaaaaaa
Nileteeni biaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,582
2,000
Ana kofia mbili kamanda Halima Mdee, muda huu amepangiwa kazi za kichama kupitia Uenyekiti wake wa kitaifa Baraza la Wanawake wa Chadema CHADEMA.

Makamanda wetu hawalali wakipata likizo ya kampeni wanahamia kazi za kijamii kutetea mama zetu kwa kuwahamasisha watambue nao wanaweza kuwepo ktk ngazi za kimaamuzi kwa manufaa ya Taifa bila kujali vyama.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,843
2,000
17 October 2020

Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi

Hapa Tanzania mwenyekiti wa BAWACHA amesema nchi inajitahidi kuwashirikisha wanawake mfano ktk siasa CCM imesimamisha wanawake takribani kinamama 20 kugombea ubunge wakati CHADEMA imesimamisha zaidi ya 60.

Upande wa kijamii kinamama ndiyo waangalizi wa taifa kuanzia ngazi ya familia, ndiyo wanahakikisha afya ya mtoto , kupeleka familia hospitali , kupigia kelele huduma za maji safi na salama ziwe karibu na makazi ya familia zao n.k

Mwenyekiti wa BAWACHA vilevile amesema kina mama hupenda mazingira ya uhuru , haki na Maendeleo ya famiia na hayo huja kama nchi ikizingatia masuala hayo matatu muhimu mtambuka ambayo huleta Amani na utulivu

Chanzo: Swahili Villa
Bawacha imeamsha wanawake wengi waliokuwa wamelala nchi hii
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,843
2,000
Naona anafanya shughuli za kijamii kanyaga twende kamanda Mdee kawe ni ww na ww ni kawe.

Naona watu maahetani yamepanda pande izo
Nileteeni biaaa
Nileteeni biaaaaaaaaaaa
Nileteeni biaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hihiiiiiii
 
Sep 30, 2020
5
45
17 October 2020

Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi

Hapa Tanzania mwenyekiti wa BAWACHA amesema nchi inajitahidi kuwashirikisha wanawake mfano ktk siasa CCM imesimamisha wanawake takribani kinamama 20 kugombea ubunge wakati CHADEMA imesimamisha zaidi ya 60.

Upande wa kijamii kinamama ndiyo waangalizi wa taifa kuanzia ngazi ya familia, ndiyo wanahakikisha afya ya mtoto , kupeleka familia hospitali , kupigia kelele huduma za maji safi na salama ziwe karibu na makazi ya familia zao n.k

Mwenyekiti wa BAWACHA vilevile amesema kina mama hupenda mazingira ya uhuru , haki na Maendeleo ya famiia na hayo huja kama nchi ikizingatia masuala hayo matatu muhimu mtambuka ambayo huleta Amani na utulivu

Chanzo: Swahili Villa
Wanawake wanaweza tena bila hata ya kuwezeshwa kinacho hitajika ni wao kujitambua kwanza kuwa wanaweza na wao si udhaifu ukilinganisha na wanaume mbele ya jamii.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,582
2,000
3 Aug 2017

BAWACHA YATUPIA JICHO HALI YA UCHUMI NA AKIBA YA CHAKULA NCHINI

Leo August 3, 2017 Baraza la Wanawake la CHADEMA ‘BAWACHA’ limekutana na Waandishi wa Habari katika Makao Makuu ya Chama hicho Dar es Salaam kuzungumzia hali ya kiuchumi Tanzania.

Kuporomoka kwa akiba ya chakula toka tani 400,000 ktk ghala la Taifa mpaka tani 70,000 hapo mwaka 2017 na mguso wake kwa bei ya chakula kwa familia za watanzania.

BAWACHA waonesha wasiwasi wa maamuzi juu ya maisha ya wananchi yanayofanywa na wanasiasa serikalini ikikumbukwa wanawake ndiyo wanaoendesha bajeti ya familia.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,582
2,000

MAKAMU MWENYEKITI BAWACHA ZANZIBAR MHE SHARIFA SULEIMAN AFURAHISHWA WANAWAKE ZANZIBAR KUTOBAKI NYUMA. WANAWAKE WOTE TANZANIA WAPONGEZWA .

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,582
2,000
17 October 2020
Tunduma, Tanzania

BAWACHA 2020 wapo mstari wa mbele wakishiriki ktk siasa bega kwa bega na kina Baba
Hakika baraza la wanawake CHADEMA limekuwa chachu ya kuwapa haki sawa raia wote bila kujali jinsia zao mradi wanaweza kutoa mchango wao kwa maendeleo ya taifa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom