seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,657
Video ifuatayo inaonyesha maendeleo lazima yawe ya watu,Tujadili kwa hoja ni kweli au si kweli nani yupo sahihi kati ya Tundu Lissu na Dkt Magufuli
Tundu Lissu anaamini maendeleo ya watu ni muhimu wawe huru na wafanye kazi ili kuleta maendeleo ya vitu
Dkt Magufuli anaamini maendeleo ya vitu yatapelekea watu kuwa na maendeleo binafsi
Nyerere anasisitiza maendeleo bila uhuru wa watu sio maendeleo
Video nimeambatanisha