Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:

Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.

Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja kusikiliza wagombea wetu kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani.

Huu ni ujumbe siasa ni maisha...ujumbe tunahitaji kuwa na fursa ya kuzungumza na wananchi.

*Kata ya Ruhembe

1602874043766.png
 
Leo nimetulia sehemu wakapita wanafunzi wawili.

Wawili wakasema wanampennda magufuri mmoja anampenda lissu mmoja alikaa kimyaa.
 
Eti uje kuwaambia hawa kura za
Wamepita wanafunzi 2:
2 wanampenda Magufuli
1 anampenda Lissu
1 alikaa kimya

Hivi ninyi CCM mna akili za wapi? Huoni kuwa ... basi tu nikae kimya

Ni Yeye 2020 hazikutosha. Uwaeleze Kilatin labda watakuelewa.
Huyu aliyekaa kimya anawakilisha walio wengi kwenye jamii na ndio wana hatima ya uchaguzi wa 28 oktoba.
 
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:

Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.

Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja kusikiliza wagombea wetu kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani.

Huu ni ujumbe siasa ni maisha...ujumbe tunahitaji kuwa na fursa ya kuzungumza na wananchi.

*Kata ya Ruhembe

View attachment 1602480
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom