Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kusoma Vitabu vingi siyo mbaya na ni jambo jema tu ila kama unajishebedua / unajibaragua kuwa unasoma Vitabu vingi lakini usomaji wako huo wa Vitabu hauna mabadiliko yoyote yale ya maisha ya...
20 Reactions
185 Replies
14K Views
Baada ya kufuatilia kampeni za mwaka huu hususan za Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuangalia serikali na Tume wanavyochezesha mchezo huu wa kampeni...
18 Reactions
69 Replies
8K Views
Wanajamvi, nimekutana na hii article kutoka jarida maarufu kabisa duniani la wWashington Post, ambapo wamefanya uchambuzi huo, na kusema kwamba sasa hivi Tanzania pia haiogopi tena kuhusu...
10 Reactions
54 Replies
6K Views
1. Viongozi wote wa Dini na Madhebu, wale waaminio ktk Mungu/Allah na watu wote wenye maadili mema, Wanawake wanauomizwa zaidi na USHOGA tukutane katika vituo vya kupigia KURA kuchagua kupinga...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Wanajamvi, Humu ndani, nimegunduwa jambo moja. Pale inapokuja kwenye ugombea urais, majina mengine yanayotajwa tofauti na lile la mgombea wa CCM, kwa kiasi kikubwa, hawapewi nafasi haya kidogo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Huu hapa chini ndo mualiko wao uliosambazwa leo: MUALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MKUTANO MAALUM WA SEKTA BINAFSI KUMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA. #NIYEYE2020✌😎
44 Reactions
185 Replies
16K Views
Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema.. Hata kama kura hazitatosha...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Idadi ya Wagombea wa Ubunge Jumla Wagombea 1,218 wa nafasi ya Ubunge waliteuliwa, Kati ya hao Wanaume ni 985 na wanawake ni 233. Idadi ya Wagombea wa Udiwani Jumla ya Wagombea 10,879 waliteuliwa...
5 Reactions
308 Replies
38K Views
Tumesikia mengi na tunaendelea kusikia mengi kutoka kwa wagombea wa vyama vyote sasa na mwisho tukafanye maamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi sahihi watakao weza kushirikiana na wananchi kwa...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara. Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa. Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA. Enyi watumishi...
18 Reactions
38 Replies
3K Views
JUMLA YA FEDHA ZOTE ZILIZOTUMIKA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO- NYASA KUTOKA 2015 HADI FEBRUARY 2020. ___________________________________________ TSH.258,462,354,009(TSH. Bilioni miambili hamsini...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu...
48 Reactions
158 Replies
12K Views
Katiba yetu inahitaji kuandikwa upya kwakuwa Ina kasoro nyingi sana na viraka vingi. Uandishi wake umeshatafuna hela zetu nyingi Sana lakini hatukufika mwisho kwenye awamu ya 4 na haitaandikwa...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi... Kudhihirisha...
25 Reactions
42 Replies
4K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Rusahunga - Rusumo 92km imekuwa na hali ya aina yake kwa kipindi kirefu kupita maelezo. Kwamba nchi ina matumaini ya kuwa na miundo mbinu kama ile ya Ulaya...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA" TUNDURU KASKAZINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kijana anayejali watu
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Leo 17 October 2020 kimekaa kikao cha washili wa koo zote Meru kilichoitishwa na Mshili Mkuu wa Wameru, Ezron. Mualiko huo ulikuwa ni kukutana katika eneo maarufu la Mringaringa. Cha ajabu mada...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kitendo cha mtandao wa Airtel kugawa namba za watu kwa CCM bila ridhaa zao na kuwatumia ujumbe wa kuwaomba kura uungwa kabisa. Huu ujumbe ambao unamuombea Magufuli kura unaonekana kua ni maneno...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Back
Top Bottom