Uchaguzi 2020 Swali kwa mgombea John Pombe Magufuli

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Katika kampeni zako umesema kuna maeneo hujapeleka maendeleo kwa kuwa wamechagua upinzani.

Swali: Mbona mkoa wa Dodoma karibia wote wamechagua CCM tangu uhuru ila ni maskini wa kutisha? Kongwa, Kondoa, Chamwino na Bahi hali ni mbaya mnoo, hao nao walikukosea nini?

Pia Jimbo la Isimani kwa mh. Lukuvi hapo Iringa hawajawahi kuchagua upinzani ila maendeleo hakuna, Vipi kuhusu jimbo la Kilolo?

Morogoro kuanzia Gairo kote huko ni CCM tupu mbona ni maskini wa kutisha?

Naomba majibu mh. John.
 
Hana jipya uyo

Watakao mpa kura ni wajinga cause ata wanaofaidika nae direct baadhi wanasema Bora tukose wote maana wengi wanahofu ya kutumbuliwa

Akwendeee zake huko
 
Yeye mwenyewe alipokuwa mbunge aliwaletea maendeleo gani jimboni kwake?huyu alitosha abakie na ualimu wake pale sengerema sc
 
Back
Top Bottom