Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
MARA nyingi sana imekuwa ni kawaida yetu kuwaonya na kuwapa maangalizo juu ya miendendo na porojo za wanaharakati lakini kuna muda mnakuwa vichwa vigumu sana kuelewa na kusikiliza .. Inawezekana...
1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general
Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Kati ya mwaka 2009 hadi mwaka 2018,Nchi ya Afrika Kusini chini ya Rais wake ww wakati huo,Mh Jacob Zuma iiingizwa kwenye MTEGO na familia ya Kitajiri Nchini humo ya GUPTA ERA/THE ZUMA.
Kundi hili...
JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?
UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.
Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema, Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa...
Ziara ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Simiyu imekonga mioyo ya wana-Simiyu. Katika mazungumzo na wananchi mbalimbali, wengi wameeleza kuvutiwa na namna Waziri Mkuu anavyokemea...
Mustafa Suleyman, mkuu wa Microsoft AI, ameonya kwamba kama maendeleo ya Artificial Intelligence (AI) yataendelea bila ulinzi na udhibiti wa kutosha, kuna uwezekano wa siku zijazo kuibuka kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kufanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umefanywa na Kamati ya Uongozi Taifa ya...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, ameeleza kuwa chama chake kinastahili kuwepo Ikulu kuongoza nchi kutokana na kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa na wananchi...
Kama Serikali itafuata ushauri wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), itakuwa ahueni kwa wafanyakazi wanaokatwa mishahara kulipa deni la mkopo wa elimu ya juu.
CAG pia ameshauri...
Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema. Utawafukuza na kuwafunga lakini Mungu hawezi kukupa furaha mpaka utende wema na haki. Hili ni somo pesa zote , wizi wote wa kura...
WAKILI PETER KIBATALA
Wakili Peter Kibatala: Utakasirika nikikuita kaka yangu?
Kingai: Ni sahihi, sababu nimekuzidi umri.
Wakili Peter Kibatala: Bila shaka hutakasirika nikitetea wateja wangu...
Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma...
Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani
Kaa tayari kwa updates
========
Leo September 16, 2026
Last time tuliishia sehemu ya 428
Sehemu ya 429
Mahakama imeanza.
Imepigwa high...
Taarifa mpya zinaeleza kwamba hayuko kwenye kituo chochote cha Polisi, Ndugu zake na madaktari wenzake hawajamuona popote
Sasa ameanza kutafutwa
Tunatoa wito kwa wananchi kutoa Taarifa kwa...
Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi?
Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.