Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda...
3 Reactions
46 Replies
325 Views
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, amewataka wananchi, hasa vijana, kuacha kuiga kiholela mifumo ya maandamano ya nchi za nje ambayo mara nyingi husababisha uharibifu wa mali...
3 Reactions
80 Replies
1K Views
Ilianzia kwa Job Ndugai ambapo baada ya kulamishwa kujiuzulu aliishi maisha ya hofu. Kifo chake mpaka leo hii kinatia mashaka. Alihoji suala la msingi kabisa deni la taifa kupaa juu kama Aviator...
0 Reactions
2 Replies
37 Views
Ya wengine yalianza hivi hivi.......Soka, Mdude, Polepole and many many others! Nowhere to be found until this second of an hour! Muda utaongea.
7 Reactions
36 Replies
564 Views
Huu ni muendelezo wa kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa chadema dhidi ya haki za mawakili kutpewa vikwazo na mamlaka za magereza kukutana na wateja wao ikiwemo haki ya faragha na kutosikilizwa kwa...
29 Reactions
129 Replies
5K Views
MKUU WA MKOA SIMIYU ATOA TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI HUMO Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Said M. Mtanda, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
6 Replies
143 Views
  • Featured
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika.... "Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m...
22 Reactions
391 Replies
19K Views
Kama Mahakama imeruhusu bank statement kuonyweshwa mahakamani, namshauri Lissu aombe bank statement ya kigogo mmoja ionyeshwe hadharani atapokuwa anamuhoji mahakamani ili athibitishe yale...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki...
4 Reactions
29 Replies
559 Views
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao.. Rais Mwinyi alikuwa 'victim'...
66 Reactions
227 Replies
20K Views
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa...
37 Reactions
296 Replies
39K Views
Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili. Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa...
30 Reactions
105 Replies
2K Views
Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza. Mikoa mingine ilitengwa na...
4 Reactions
68 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ukiachana na Ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi mkuu wa Mwaka jana Basi hakuna kipindi na wakati wameonyesha Moyo wa Upendo walionao watanzania kwa...
3 Reactions
18 Replies
179 Views
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
325 Reactions
2K Replies
232K Views
JASUSI ! Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo...
16 Reactions
212 Replies
2K Views
  • Redirect
DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja...
0 Reactions
– Replies
– Views
BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum. AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake-...
20 Reactions
156 Replies
6K Views
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto...
76 Reactions
147 Replies
21K Views
Tunasahau haraka tu. Hata wakati wa mwanzo wa Kikwete bunge lilimtimua Zitto Kabwe sababu ya kuhoji tu Buzwagi imejirudia tu... Wakati wa Kikwete pia matamko ya kuzuia maandamano na siasa za...
74 Reactions
383 Replies
56K Views
Back
Top Bottom