Sifa ya kupata cheo/ uteuzi ni kuwa Katili

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,120
Reaction score
102,058
Hapo ndipo tulipofika.

Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
 
Ni legacy iliyoachwa na Magufuli, na Samia naye kaivaa kichwa kichwa.
 
Rioba
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Hapo ndipo tulipofika.

Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
this is the most useless and completely very nonsense narrative of the day gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom