Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina neno tena, kama mahakama ilikiri ushahidi uliotolewa haukuwa na maana yoyote ila wakaforce kesi ya kujibu ipo basi watafutane wenyewe hapo mahakamani wajibu kesi yao. Kongole kwao japo siwapendi
19 Reactions
25 Replies
749 Views
Watanzania wenzangu, hebu tujiulize kitu kimoja tu: kama sisi wenyewe tusiipende Tanzania yetu, nani atakayeipenda kwa niaba yetu? Kuipenda nchi yako si lazima uwe kiongozi, uwe na mali nyingi au...
1 Reactions
23 Replies
156 Views
  • Redirect
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔, 𝗞𝗨𝗙𝗨𝗡𝗚𝗨𝗔 𝗞𝗢𝗡𝗚𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗜𝗣𝗔𝗡𝗚𝗢 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
𝗡𝗜𝗗𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟭𝟴" - 𝗗𝗞𝗧 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨. ▪️𝗔𝘄𝗮𝘀𝗶𝗵𝗶 𝗪𝗮𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝘂𝗸𝘂𝗮 𝗩𝗶𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘃𝘆𝗮𝗼 𝘃𝘆𝗮 𝗨𝗿𝗮𝗶𝗮. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nipende kusema nimeona wanaharakati wengi sana waliojaribu kuwa challenge watawala wa nchi hii, nadiriki kusema Tundu Lissu ndiye mpenda haki pekee asiye na bei amepambana sana bila malipo...
9 Reactions
21 Replies
216 Views
Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi). Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti...
6 Reactions
23 Replies
196 Views
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea...
17 Reactions
43 Replies
692 Views
  • Featured
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo...
17 Reactions
35 Replies
1K Views
Rose Masesa ambaye ni Dada wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amewataka watanzania kupuuza taarfa ambazo ameziita za uzushi zinazoenezwa na mwanaharakati Mange Kimambi kuwa dada huyo kuwa...
13 Reactions
79 Replies
1K Views
Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa...
10 Reactions
59 Replies
668 Views
Harakati za ukombozi zina mambo mengi sana. Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika...
18 Reactions
54 Replies
543 Views
Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake: 1. Ilidhalilisha...
17 Reactions
30 Replies
863 Views
Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa...
4 Reactions
61 Replies
781 Views
Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania"...
1 Reactions
3 Replies
121 Views
Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa pamoja na masheikh wengine wawili wamekutwa na makosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume Maalumu iliyoundwa na Mufti...
2 Reactions
25 Replies
653 Views
Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati...
0 Reactions
10 Replies
291 Views
Nimekuwa nje ya mawasiliano.
2 Reactions
12 Replies
155 Views
  • Featured
Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanaharakati mkongwe, Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, amehoji uhalali wa uchaguzi, akisema alichokiona siku hiyo hakikidhi viwango...
31 Reactions
69 Replies
1K Views
Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda...
0 Reactions
4 Replies
39 Views
Back
Top Bottom