Katambi: Tusitetee vitu ambavyo hatuvijui hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,181
Reaction score
17,656
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini.

“Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi na kama ingekua kuna lengo maalumu mbona kuna wanataaluma wengi wako huru, kwahiyo tusitetee vitu ambavyo hatuvijui na hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani kwa sasa hatuna ujasiri wa kuyahoji” - Katambi

Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi akizungumza leo Julai 29, 2026, amesema kuwa hakuna kusudio lolote lakulenga Taasisi au mtu, akisisitiza watu kutotetea vitu wasivovijua hasa kwa mashauri yanayoendelea mahakamani.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini.

“Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi na kama ingekua kuna lengo maalumu mbona kuna wanataaluma wengi wako huru, kwahiyo tusitetee vitu ambavyo hatuvijui na hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani kwa sasa hatuna ujasiri wa kuyahoji” - Katambi

Katambi
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Kuwe na utaratibu wa mahakama kuamuru serikali ilipe fidia watu walioshitakiwa kwa makosa ya kubumba
 
Ut

Mbona sheria ipo........yule Mkuu wa usalama wa taifa ...IMRAN KOMBE ..TIS aliyeuawa kwa kupigwa risasi na askari akiwa shambani kwake mke wake alipata fidia kutoka serikalini
 
Siku hizi mahakama zimegeuzwa kuwa kichaka cha kuwaumiza raia wasio na hatia.

Watu wanabambikiwa kesi feki, na zisizo na uhalisia, za uhaini na ugaidi! Wanapelekwa kwenye mahakama zinazoendeshwa kwa vimemo (kwa mujibu wa Rostam Aziz, kada na mfadhili wa chama)! Halafu watu wenye akili timamu wakihoji, mnaambiwa eti mnaingilia uhuru wa mahakama! Mahakama zinazoendeshwa kwa maelekezo kutoka juu!!

This is so fun you know!
 
Back
Top Bottom