Gerva Lyenda: Wanaosema Heche anakula hela walete ushahidi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,116
Reaction score
3,496
Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 27, 2026, Mkuu wa Idara ya Habari na Uenezi wa CHADEMA, Gerva Lyenda, ameeleza kuhusu wanaotoa tuhuma dhidi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche kuhusu wizi wa fedha, akisisitiza kuwa fedha za CHADEMA huingizwa kwenye akaunti rasmi ya chama na kukaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Hivyo ajenda zinazozushwa ni za kisiasa kumchafua Heche huku akitoa wito kwa yeyote mwenye ushahidi dhidi ya Heche

"Fedha za CHADEMA zinaingia kwenye akanti ya chama. Heche siyo signatory. Pesa zile zinakaguliwa na CAG. Heche anakuleje hela za CHADEMA?, Kama yeye kweli anahusika, na mimi nitoe wito kwenye media hii, kwa wote wanaonisikia: walete ushahidi!."

"
 
Jizi na lipenda rushwa linachangia. Hili jamaa halina hata mshipa wa aibu. linaweza kuwa gonjwa hili lichawa
Kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa, tutaona na kushuhudia fisadi wa pesa za chadema anavyoumbuliwa mchana kweupe na kuishia kurusha ngumi ili kuvuruga mkutano 🐒
 
Wewe ni mgonjwa. Si tena mambo ya ushabiki. Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kushabikia mambo ya kijinga ya uongo na ulaghai. Harafu huyo huyo anasifia CCM wanapokula rushwa na kuiba mamilioni ya fedha na kudhibitishwa kuwa ni kweli. Unaona kabisa si ushabiki bali ni ugonjwa. Go to the hospital umeshachanganyikiwa wewe
 
tuliza mihemko useless bas jukwaani na itapendeza zaidi gentleman.

na ikiwa wewe ni muerevu,
huna haja ya kuweweseke kwa makasiriko dhidi ya ukweli mtupu kwenye comment yangu.

toa mawazo yako mapya na fikra zako mbadala bora zaidi ya ukweli mtupu kwenye comment yangu bila mihemko nonsense na itapendeza zaidi.

porojo na makasiriko useless jukwaani, vinakuexpose tu jinsi ulivyo empty head 🐒
 
Wale chawa wa CCM wanapata tabu sana

Tlatlaah na shoga mwenzie Lucas Mwashamba wanaumia roho kusikia mema ya CHADEMA
 
Ni muhimu sana kusubiri vikao vya Baraza kuu taifa na itapendeza zaidi 🐒
Baraza kuu la Chadema linawahusu Nini majizi nyinyi au Kuna mamuluki mewapenyeza wakaanzishe vurugu ionekane chadema Kuna mgogoro NAKUHAKIKISHIA WATUMWA WENU TUTAWAFILA MCHANA KWEUPE PEEE LETENI PUA ZENU MSHUHUDIE KITAKACHOWAKUTA PAMBANENI NA NCHIMBI SIO CHADEMA
 
Jizi na lipenda rushwa linachangia. Hili jamaa halina hata mshipa wa aibu. linaweza kuwa gonjwa hili lichawa
Hilo jinga usipoteze muda kujibishana na mpuuzi. Mbona kwenye taarifa ya CAG sijawahi kusikia vijipress kulaami wizi ule unao ripotiwa Kila mwaka? Mbona kwenye kashfa ya Richmond, kagoda na meeremeta hawakuitisha maandamano??
Wapumbavu Hawa..watu wanachanga pesa wenyewe kupitia tone tone ambazo tulisha tangaziwa kwamba ni za kununuloa virusi vya ebola na lile chizi la Arusha Leo wamebadilisha ati utakatishaji??? Huu kama siyo ujinga ni nn sasa??
 
Baraza kuu la Chadema linawahusu Nini majizi nyinyi au Kuna mamuluki mewapenyeza wakaanzishe vurugu ionekane chadema Kuna mgogoro NAKUHAKIKISHIA WATUMWA WENU TUTAWAFILA MCHANA KWEUPE PEEE LETENI PUA ZENU MSHUHUDIE KITAKACHOWAKUTA PAMBANENI NA NCHIMBI SIO CHADEMA
baraza kuu la chadema taifa ni jukwaa la kuwaumbua mafisadi wa pesa za chadema kwa manufaa yao binafsi na familia zao.

zitapigwa ngumi ambazo hazijawahi kutokea duniani 🤣
 
Wapo wakubwa kuliko wewewalijalibu kupambana na chama hiki waliishiaa kufa wao chadema ipo mpaka leo itakua wewe kidagaa usiefahamika hazipigwi ngumi Ila watapigwa Sana mafisadi wa ccm watakao jalibu kupenyeza pesa zao za kifisadi kutaka kugombanisha wajumbe mtapigwa mpaka mchakae msijichanganye kabisa
 
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi na sina haja na porojo zozote zile gentleman 🐒
 
Mnduku wewe una UKWELI gani wakati unatumika Kama CONDOM HUKO LUMUMBA
we poromomosha matusi kadiri uwezavyo gentleman, si ndio itikadi na utambulisho wa chama chako na wafuata mkumbo wenzako,

but kutakua na ngumi kavukavu kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa ambazo duniani haijawahi kuziona 🤣
 
Siku hiyo ukileta usenge pale ndani tutakufila mpaka ubebe mimba isiyokua na baba jichanganye uone ndezi wewe
 
na ngumi zenyewe zitaanza mara baada ya team Lema kumwaga ushahidi wa ufisadi dhidi ya heche na timu ufisadi yake 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom