Wako wapi akina Dotto Biteko na Inno Bashungwa?

Wako wapi akina Dotto Biteko na Inno Bashungwa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,693
1767991192410.png

Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
 
Hakuna mtu aliwahi kushika nafasi ya uwaziri halafu akawa na njaa,sahau hilo .

Huu ni muda na nafasi nzuri kwao kutekeleza miradi yao binafsi
Kwa bahati miradi yao binafsi huwa inapata mafanikio wakiwa serekalini ambapo hupata nafasi za kuiba ili kuipa backup miradi yao. Wakiwa nje ya madaraka miradi yao binafsi huenda kwa mwendo wa kinyonga ama hata kufa.
 
View attachment 3527617
Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
Kuna ule msemo usemao "Ukumwagwa mwagika". Nadhani wameutafsili vizuri zana.
 
Back
Top Bottom