Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania. Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
4 Reactions
3 Replies
46 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA John Mnyika amesema, Watu wanapewa taarifa potofu ilii kutugombanisha ili wauaji watembee huru. Watu wanadaia eti Jakaya Kikwete, Boniface...
14 Reactions
26 Replies
634 Views
Wanabodi, Mwaka Huu 2026 JF Inatimiza Miaka 20!, tangu uwepo wake, tangu enzi zile za JamboForums. Pia soma Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea...
52 Reactions
255 Replies
6K Views
Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde...
1 Reactions
6 Replies
97 Views
Heshima sana wsnajamvi. Kuna utaratibu wa hila na laghai za kila aina ambazo sijui chanzo chake au kusudio lake. Huyu Kafulila kila uchao utasikia kasema hili mara kasema lile. Ukitazama nyuzi...
18 Reactions
30 Replies
379 Views
Kafulila amrejea Mwalimu Nyerere kuhusu MDGs na SDGs. Arusha TICD, Akizungumza na wanazuoni wa Tengeru Institute of Community Development (TICD), Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC)...
6 Reactions
32 Replies
685 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa...
7 Reactions
41 Replies
990 Views
Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound...
3 Reactions
23 Replies
218 Views
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana...
2 Reactions
13 Replies
123 Views
Mfumo mkubwa wa Taifa ni ule wa kushindanisha watu wenye ubora KATIKA viongozi Bora zaidi KATIKA haki na ukweli. Maendeleo yanatokana na ushindani wa kutafuta kitu kilicho Bora zaidi Kuua...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao. Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni...
2 Reactions
16 Replies
191 Views
  • Redirect
Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu Kanda ya Serengeti Mijadala katika mitandao ya kijamii imechukua sura mpya baada ya Mange Kimambi kutoa kauli za dharau kwa viongozi wa CHADEMA. Hii imefuatia...
2 Reactions
– Replies
– Views
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini? Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili...
5 Reactions
33 Replies
505 Views
Dunia nzima inaamini demokrasia ni mfumo wa kuwafanya wawe huru kufanya kitu wanataka. Demokrasia bado ni mfumo wa unyonyaji,huku ukikupa uhuru wa kumchagua mtu wa kukunyonya kwa muda wa miaka...
0 Reactions
2 Replies
39 Views
1. Wa Jalalani 2. Usifuate Mkumbo ,kuwà na msimamo
2 Reactions
9 Replies
195 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza...
16 Reactions
51 Replies
1K Views
Wanabodi Leo usingizi umekatika usiku wa manane, na saa hizi ninapoandika hapa, nasikia adhana ya swalaa swalaa, yaani tayari ni alfajiri, nilikuwa nasikiliza mahubiri fulani online, mara...
11 Reactions
41 Replies
877 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya...
7 Reactions
32 Replies
634 Views
Wanabodi Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu...
8 Reactions
19 Replies
517 Views
Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje. Shipping line hii imilikiwe na serikali na...
1 Reactions
8 Replies
57 Views
Back
Top Bottom