Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu
Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na...
Matokeo ya uchaguzi mwaka 2015:
Magufuli alipata kura 8M
Lowassa 6M
Idadi kamili ya waliokuwa wamejiandikisha ilikua ni 23M. Hivyo takriban watu 9M hawakupiga kura.
Kwa mtazamo wangu, sababu...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na...
Anayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake...
Kesho ndio siku ya kuapishwa mawakala wa vyama katika uchaguzi mkuu.
Tukumbuke kuwa wakala anaapa halafu anaondoka bila utambulisho wowote, yaani anaondoka kama mimi na wewe!
Eti wakala anaenda...
Wakurugenzi watendaji katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania wameagiza wakuu wa idara waliopo chini ya halmashauri kupita kwa watumishi wa umma kuomba kura kwa JPM.
Wakuu wa Idara wamekuwa...
FACT KUELEKEA UCHAGUZI:- MTAJI WA WAGOMBEA.
Na Thadei Ole Mushi.
Ccm inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa na Jumla ya Kura Milioni 11,111,500 (Milioni Kumi na moja,Laki Moja,kumi na Moja elfu na...
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA"
TANDAHIMBA
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima
kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya...
1. Ilani ya Chadema katika SURA ya 12.1 (a), inakusudia kuuza Nchi kwa kuweka REHANI madini yetu. Jaribio hili litaleta mgogoro mkubwa wa ardhi kati ya Wananchi na watakaopewa madini hayo kwa...
BREAKING NEWS: Kamati ya maadili ya Taifa imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku 7 za wagombea wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Mbatia pamoja na mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini...
Kuna wanasiasa lakini hawaijui siasa. Wanaitwa wanasiasa kwa sababu wako kwenye nafasi za Kisiasa. Kuna watu si wanasiasa lakini wanaijua siasa. Hawako kwenye nafasi za Kisiasa lakini ni watu...
Kabla ya Tanganyika kujipatia Uhuru, vijana ndiyo walipigania kufa na kupona ili nchi yetu iachiwe na wakoloni, hatimae wakoloni walituachia nchi yetu, ndiyo maana leo hii tuna siku ya mashujaa(...
Na: George Kabadi
Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka...
Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu.
Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM...
Pamoja na kuwa
1. Wamefanya siasa miaka mitano peke yao.
2. Wanajisifia kufanya makubwa kila siku
3. Wamejenga Flyovers.
4. Wamenunua ndege, uwanja wa ndege Chato.
5. Wanatupigia magoti...
Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10...
Mgombea ubunge jimbo la Kawe kupitia CCM anaitwa Rashid, ukiona Jina jingine asimpigie kura.Hii ni lala salama, naona mgombea wa CCM mpaka anabadili Jina aingie kwa waislamu, utaona ni jinsi gani...
Safi sana CHADEMA hamkuwekeza kwenye majumba,wala magari ya kifahari wala chochote cha starehe,kila mlichopata mlikitumia kuijenga taasisi yenu mioyoni mwa watu, hamkukaa bure richa ya kuwa...
Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani.
Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif...
Habari wakuu,
Leo Rais Magufuli ni mgeni Rasmi kwenye kilele cha mbio za uhuru. Pia leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa awamu ya kwanza, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kinachoendelea sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.