Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wakuu, Leo Rais Magufuli ni mgeni Rasmi kwenye kilele cha mbio za uhuru. Pia leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa awamu ya kwanza, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kinachoendelea sasa...
13 Reactions
404 Replies
64K Views
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake...
31 Reactions
37 Replies
3K Views
Wapiga kura kwa mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 na mwaka 2020 ni 29,804,992 Hivyo mshindi wa uchaguzi mwaka huu ataamriwa na hawa wapiga kura wapya takribani milioni sita na nusu. Ikumbukwe kuwa...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeonya kuwa msimamizi yeyote atakayesababisha Mahakama itengue matokeo ya uchaguzi, atatakiwa kufidia hasara na gharama za kurudia uchaguzi. Kamishina wa NEC...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wajumbe, Mwaka huu umekua ni mwaka wa uchaguzi katika taifa letu la Tanzani,ila imeonekana wazi chama cha mapinduzi kimekosa mvuto mbele ya watanzani mpaka imefikia wakati wanatumia nguvu...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
CCM na viongozi wake hawajali wananchi wa hali ya chini. Ni uongo tu wanayosema kwa kutaka kuendeleza ukandamizaji. Wachache kwenye System ya Chama na Serikali wananufaika na CCM na ndo hao...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Hawa wote ni wabunge, juu ni Mbunge wa Mtera (CCM) Livingstone Lusinde. Chini ni Mbunge wa Momba (CHADEMA ) David Silinde. Umejifunza nini kupitia hii picha?
1 Reactions
17 Replies
5K Views
JE, HIZI CHAGUZI ZA NDANI CCM ZIMETULETEA FAIDA AU ZINZ ATHARI KWA MWENENDO WA CHAMA? NITOE PONGEZI NA SHUKRANI ZANGU KWA UCHAGUZI WA HAKI, WENYE UTULIVU NA WA BUSARA ULIOTEKELEZWA NA CHAMA CHETU...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege. Nami namuuliza JK, uwanja...
15 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu habarini, nimeona ni vyama nitoe angalizo hili kwa vyama vya siasa, wagombea wake na mawakala wao kwa ujumla juu ya ya matukio, majambo navijambo katika siku ya kupigakura ndani ya chumba...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Siasa za Chuki Mgombea wa Chadema Moshi Mjini Raymond Mboya dhidi ya Juma Raibu zinaharibia chama,viongozi wanazidi kuhamia CCM kuunga mkono kazi za Raibu Mgombea Udiwani wa BomaMbuzi Wakati...
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Kumekucha...kumekucha! Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020. Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu...
37 Reactions
115 Replies
12K Views
Kwanini umtake muislamu aitike salamu yako ya "Bwana Yesu asifiwe" au "Tumsifu Yesu Kristo", unadhani ataitika kweli kwa hiari ya moyo na kwa ibada kama wakristo wanavyoichukulia salamu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana bodi, Naamini wote tupo salama. Kuna kila sababu ya ku mshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote pamoja na ku muomba atuvushe salama katika kipindi hiki cha uchaguzi. Nimeji kuta kwa namna moja au...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Nimefuatilia mwenendo wa chaguzi zetu kubwa kwa muda mrefu tokea tuanze kutumia mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kupata viongozi mbalimbali wa ngazi za juu nikagundua miaka inavyozidi kwenda na...
12 Reactions
30 Replies
4K Views
Uchaguzi Mkuu wa 6 kwa mfumo wa Vyama Vingi Tanzania utafanyika tarehe 28/10/2020 siku ya Jumatano na kwa Mara ya kwanza unafnayika siku ya Kazi ambayo kwa umuhimu wake Serikali imeaamua kuifanya...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Habari iwe kwenu wakuu! Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura , nimefuatilia kwa ukaribu sana kamapeni za wagombea mbali mbali na...
1 Reactions
0 Replies
631 Views
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki. Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa...
54 Reactions
130 Replies
13K Views
Akiongea na Wananchi wa maeneo tofauti tofauti kaka Mkubwa Davis Mosha amewataka wanaMoshi kumchagua Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Madiwani wa CCM na sio kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukimsikiliza kila kiongozi ndani ya chama chetu cha CCM kuanzia kwa mgombea wetu John Pombe Magufuli na wengine wote hakuna anayetamani kugusia neno Haki katika mikutano yao kila mmoja anahubiri...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Back
Top Bottom