Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiongozwa una nafasi yakumweleza kiongozi njia sahihi pale unapobaini mnakwenda wrong direction. Mkiongozwa mnaridhia,mnakubaliana na kusimamia misingi ya kuongozana bila kupindisha au kuegemea...
5 Reactions
14 Replies
990 Views
Waingereza wana msemo usemao: "If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!" Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Queen Sendiga, amesema akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akiunda baraza la mawaziri...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kila mara tumekuwa tunamsikia Rais wetu akitamka kuwa Maendeleo hayana chama. Kwa maana nyingine ni kuwa nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi, kwa hiyo mwananchi yeyote anaruhusiwa kuwa mshabiki...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Kamanga ateuliwa Mkurugenzi NIC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Oktoba, 2016 amemteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuelekea katika tarehe za kupiga kura mimi bado naendelea kuwashawishi vijana wenzangu wa kitanzania kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura ili tuweze kuchagua viongozi tunaowahitaji ili...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika kipindi cha Utawala wa CCM kuna Sheria zilitungwa na kupitishwa na Wabunge wa CCM bila kutumia Busara. Leo hii zinaigharimu Serikali ya CCM. 1) Sheria ya FAO LA KUJITOA na KIKOKOTOO KIPYA...
8 Reactions
7 Replies
1K Views
Tetesi zilizopo muda huu ni kuwa mkulu kampa Mataka fupa la NIC news of appointment to follow soon!!!
0 Reactions
107 Replies
17K Views
Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu, Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa...
33 Reactions
72 Replies
6K Views
Rais katengua Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa na ameteuliwa mhadhiri Chuo Cha usimamizi wa Fedha, IFM Dkt. Elirehema kuchukua nafasi yake. Ni mhadhiri sio mkuu was chuo. ===== Rais Dk...
1 Reactions
70 Replies
18K Views
Masaa ya Ukombozi yanakaribia tujitwalia Uhuru wetu kwa kura zetu. Kwenye diplomasia ya utawala kuna msemo wa kiswahili wenye maana sana unasema, "Wali wa kushiba huonekana kwenye sahani". Hii...
34 Reactions
45 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli le amteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC). Uteuzi huu uanza rasmi leo...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu...
16 Reactions
18 Replies
2K Views
Takriba miaka minne tumedhurumiwa kiasi cha kutosha haki zetu,wengi wetu tumenyanganywa nyavu zetu, ndoano, na vitendea kazi zetu ktk uvunaji wa samaki wakisema eti na zana haramu au samaki...
3 Reactions
4 Replies
864 Views
October 11, 2017 Polisi wamevamia mkutano wa Sheikh Issa Ponda katika hoteli ya Iris, Kariakoo. Taarifa za awali zinasema baadhi ya waandishi wamekamatwa. Awali alikuwa anazungumzia kuhusu...
53 Reactions
314 Replies
53K Views
Wakuu heshima sana, Kadri siku ya uchaguzi mkuu zinapokaribia nabaki najiuliza maswali kadhaa bila majibu. Najaribu kutafakari ni eneo gani haswa CCM ilikosea ?. Mosi, kununua wapinzani...
59 Reactions
82 Replies
7K Views
ASKOFU AFIKISHA SAUTI YA HAKI KILIMANJARO Tarehe 19 Oktoba 2020. Nikiwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA), na...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Wanabodi Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito. Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu...
16 Reactions
79 Replies
6K Views
Wanabodi, Declaration of Interest. Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha...
48 Reactions
196 Replies
21K Views
Back
Top Bottom