Uchaguzi 2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,442
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu

Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?

Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?

Maendeleo hayana vyama!
 
Uzuri ni kwamba Lissu akishashinda akatangazwa, CCM hamtakuwa na uwezo wa kupinga matokeo mahakamani. Kwa hiyo akiamua kuvunja sheria zozote za uchaguzi, mna wakati huu tu wa kumzuia.

Tuliwaaambia kwa miaka mingi mbadili sheria ili matokeo ya Urais yaweze kupingwa mkakataa, sasa inaenda kula kwenu!
 
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu

Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?

Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?

Maendeleo hayana vyama!
Umeshasema maedndeleo hayana vyama sasa unataka nini. Hiki kizazi cha siku hizi hovyo kbs.
 
Mbona magu alimpigia Mwinyi kampeni Zanzibar? Au mbona akina Mrema na cheyo wanampigia magu kampeni?
 
Back
Top Bottom