Halima Mdee, wewe ni mwamba, mpaka anajiita RASHIDI

Chid boy ana PhD ya uongo. Bado kidogo atasema yeye siyo mwanaume kuna wakati alikuwa mwanamke sema wanaume wakamlea kanisani ndiyo akaamua kuwa mwanaume🤣🤣🤣
 
Aliahidi kujenga Kanisa, ameshindwa kutimiza ahadi.

Aliahidi ataleta Ndege, ameshindwa ameshindwa kutimiza ahadi.

Aliahidi ataleta treni kwaajili ya waumini, ameshindwa kutimiza ahadi.

Alitoa ahadi nyingi sana kwa waumini wake, ila hajatimiza hata moja. Labda ya kuwala Kondoo katika zizi lake.

Hafai kwa uongozi wa aina yoyote. Labda kucheza muvie za X ndip atafiti.
 
Back
Top Bottom