Hongera CHADEMA kwa uwekezaji huu mkubwa

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,585
3,179
View attachment 1605876View attachment 1605876
chadema ofisi.jpg
ccm ofisi.jpg

Safi sana CHADEMA hamkuwekeza kwenye majumba,wala magari ya kifahari wala chochote cha starehe,kila mlichopata mlikitumia kuijenga taasisi yenu mioyoni mwa watu, hamkukaa bure richa ya kuwa mlikuwa kifungoni kwa miaka yote mitano.

Chemichemi zenu zote za kuwaongezea kipato kwenye chama zilizibwa,waliowaunga mkono waliwakimbia ukata na kufilisiwa kuliwaogopesha lakini hamkukata tamaa mlisonga mbele kama makamanda hodari mkijenga taasisi imara chini kwa chini,hakika vita mmeipiga SALUTE.

Mlijikamua kwa kila mlichokipata na kuwekeza kwenye mioyo ya watu,mishahara yenu mlichanga,ruzuku yenu sasa tunaona ilikuwa ina fanya kazi gani,wala hatuhitaji mahesabu maana kazi inaonekana na hii inaonyesha wazi nini maana ya kuwekeza kwanza kwa watu na si vitu, vitu huja baada ya watu na si vitu na baadae watu, hizo ofisi magari mazuri yana maana gani tena kwa hao wenzenu kwa sasa, maana uwekezaji kwenye mioyo ya watu waliucha njia panda.

Sikutarajia watu,watanzania wanaweza kukesha wakimsubiri kiongozi,mgombea aje kesho yake kuwahutubia dhahili mnaishi mioyoni mwa watu,kwa wanaoota kuiua CHADEMA warudi nyuma wafikiri upya.

Mliounga mkono juhudi pia nawapa pole,
Ni hayo tu kwa leo asanteni.

Naomba nimalize kwa kusema tena hongereni sana kuna watu wanapaswa wajifunze katika hili.
 
View attachment 1605876View attachment 1605876View attachment 1605904View attachment 1605905

Chadema haijapata nafasi ya kupora majengo ya UMMA. Ofisi zote za CCM ni za uMMA wakati wa chama kushika hatamu.

All in all, Haisaidii kumwongezea Magu kura! Tafuta lingine
 
View attachment 1605876View attachment 1605876View attachment 1605904View attachment 1605905

Safi sana CHADEMA hamkuwekeza kwenye majumba,wala magari ya kifahari wala chochote cha starehe,kila mlichopata mlikitumia kuijenga taasisi yenu mioyoni mwa watu, hamkukaa bure richa ya kuwa mlikuwa kifungoni kwa miaka yote mitano.

Chemichemi zenu zote za kuwaongezea kipato kwenye chama zilizibwa,waliowaunga mkono waliwakimbia ukata na kufilisiwa kuliwaogopesha lakini hamkukata tamaa mlisonga mbele kama makamanda hodari mkijenga taasisi imara chini kwa chini,hakika vita mmeipiga SALUTE.

Mlijikamua kwa kila mlichokipata na kuwekeza kwenye mioyo ya watu,mishahara yenu mlichanga,ruzuku yenu sasa tunaona ilikuwa ina fanya kazi gani,wala hatuhitaji mahesabu maana kazi inaonekana na hii inaonyesha wazi nini maana ya kuwekeza kwanza kwa watu na si vitu, vitu huja baada ya watu na si vitu na baadae watu, hizo ofisi magari mazuri yana maana gani tena kwa hao wenzenu kwa sasa, maana uwekezaji kwenye mioyo ya watu waliucha njia panda.

Sikutarajia watu,watanzania wanaweza kukesha wakimsubiri kiongozi,mgombea aje kesho yake kuwahutubia dhahili mnaishi mioyoni mwa watu,kwa wanaoota kuiua CHADEMA warudi nyuma wafikiri upya.

Mliounga mkono juhudi pia nawapa pole,
Ni hayo tu kwa leo asanteni.

Naomba nimalize kwa kusema tena hongereni sana kuna watu wanapaswa wajifunze katika hili.
Duh,hizo ofice ni majasho ya damu za wa Tanzania
 
CCM wamepora mali za umma. Hata sasa hivi, bila ya aibu, wanatumia mali za umma kwenye kampeni za urais. Magari yanayotumika yenye rangi ya kijani yana usajili wa Serikali. Si mav8 ya CCM. Mali ya CCM wanayopaswa kujivunia ni roho ya ujambazi tu.
 
Yaani zile ruzuku zote Mbowe anakula jamani kweli. Mbowe kuwa na huruma kwa chama chako
 
CCM wamepora mali za umma. Hata sasa hivi, bila ya aibu, wanatumia mali za umma kwenye kampeni za urais. Magari yanayotumika yenye rangi ya kijani yana usajili wa Serikali. Si mav8 ya CCM. Mali ya CCM wanayopaswa kujivunia ni roho ya ujambazi tu.
Hao manyoka wezi tu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom