Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Na: George Kabadi

Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili.

MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu wengi lakini hakuwa bora, hivyo siasa ya 2015 ilikuwa siasa ya upepo usio na mikakati.

PILI, Lowassa alibebwa na nguvu ya umaarufu kwa maana hata wasio wapiga kura waliohudhuria kampeni zake.

Tofauti kubwa iliyopo katika uchaguzi wa mwaka huu na uchaguzi uliopita, ni kuwa Mgombea wa CCM, ni Mgombea ambaye tayari jamii ishauona Mwelekeo wake, na Mgombea wa Upinzani ni Mgombea halisi zao halisi la upinzani.

Tazama kampeni za Tundu Lissu, na tazama kampeni za John Magufuli utagundua kuwa kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi na kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi.

Kuna mapungufu mengi kwa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi kuliko Mgombea Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, nalisema hili bila kificho.

Baada ya TUME YA UCHAGUZI kuidhinisha Wagombea 15 wa kiti cha Urais wa JMT, kwa tiketi ya vyama mbalimbali, kadri muda unavyozidi kwenda ni vyama viwili tu ndiyo vimeonyesha nia ya kushika hatamu, nadhani wengine wamekata moto, sasa ni Chama Cha Mapinduzi-CCM na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema.

Wakati chama Cha Mapinduzi kikijinandi kuwa Mgombea wake ametekeleza mambo mengi katika Uongozi wake wa serikali ya awamu ya tano, chagamoto za uhalisia wa maisha ya mtanzania, bado zinamhukumu hivyo hana budi kukubaliana na chagamoto nyingi atakazo kutana nazo katika kampeni zake, kuna makosa mengi na mara kwa mara yamekuwa yakijirudia, sifahamu ni kwa nini, ama Chama cha Mapinduzi hakina meneja kampeni?

Sifahamu! kwa maana Mgombea wa chama hicho akikosa ubunifu pindi anapokuwa jukwaani na kujikuta akitoa matamko badala ya kumwaga sera. Binafsi hukuona haja ya Dr Magufuli kujibu hoja ya Tundu Lissu kuhusu vitambulisho vya wamachinga.

Jibu alilolitoa ni mtihani kwake mwenyewe, unaposema vitambulisho vya wamachinga havina maana wakati wewe ndiye uliyevitoa unatoa mwanya wa mpinzani wako kukuhoji zaidi.

Najaribu kufikri Mgombea wa CCM anapowaambia wananchi, wakimchagua Mbunge wa Upinzani hatowapelekea maendeleo.
Lakujiuliza hapa ivi CCM wanashindwa kumkanya Mgombea wao kuwa tuko kwenye nchi ya Demokrasia? Watanzania wananahaki ya kumchangua kiongozi wamtakaye na Maendeleo ni haki ya kila mwananchi kwa sababu ndiye mlipa kodi?

Nasema kauli, kauli, kauli, kauli za namna hiyo ni ishara ya kiongozi kushindwa

Upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, chagamoto yao kubwa ni watu wanaomzunguka Mgombea, ni watu wanaoendeshwa na hulka, kinachoibeba Chadema ni uwezo binafsi wa Mgombea kucheza na akili ya wananchi na mpinzani wake wa karibu.

Akili ya Tundu Lissu inaufanya uchaguzi uwe mgumu, kukosekana kwa fikra mpya ndani ya Chama cha Mapinduzi, kunatoa mwanya kwa Lissu kulitawala jukwaa atakavyo katika kampeni, naweza kusema Tundu Lissu yuko kwenye ubora wa kimataifa

Kinachompa chagamoto Dr Magufuli ni yeye kuamini ndiye anaweza kuliko watu wanaomzunguka, sijui kwanini Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr Bashiru anashindwa, kutengeneza muunganiko wa jamii moja ndani ya Chama kimoja ili kutuliza hali ya hewa.

Ikiwa hali itaendelea hivi Dr Magufuli ajiandae kisaikolojia, kushindwa kwa 49% au kushinda kwa 51% huenda akaipoteza Ikulu, na Tundu Lissu ajiandae kushindwa kwa 49% au kushinda kwa 51%

Kitendo cha Dr Magufuli kushindwa kuwapa hamasa watu wa Bukoba wakati wa tetemeko la aridhi kumempunguzia kura za kanda ya Ziwa, na kuendelea kudhani watanzania bado ni jamii ya kuendeshwa huenda kukamtia katika promoko la karne.

Kabla ya 28 October 2020 anapaswa awaunganishe wana CCM, ambao hadi sasa wamepasuka, idadi kubwa ya viongozi wa ngazi za juu ndani ya CCM hawamuungi mkono Dr Magufuli, Japokuwa machoni wanampa tabasamu huku nyuma wanamchinja.
Kabla hata ya wapiga kura million 29,188,347 hawamchinja.

Huu ni mtazamo na hoja yangu, binafsi naona.

"Kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi, kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi"

Sijui mtazamo wako!

Kalamu Ya Mwebrania
Na: George Kabadi
MgombeaUrais2035
 
Na: George Kabadi

Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili...
Sisi mgombea wetu hajachoma nyavu zetu halali kwa kujidaia madaraka. Sisi mgombea wetu anathamini vyeti feki walikuwa wanautaalam ndimaana wamezalisha waalimu.wanajeshi kwamaana walinzi.

Madaktari
Sisi mgombea wetu anathamini watu hujenga kwa mazingira magumu sana kumbomolea mtu bila kumlipa nikunyasa
sisi mgombea wetu amesema atawapandisha mishahara kada mbalimbali na kupandisha madaraja

NDUGU ZANGU LISU KASEMA WOTE TUNALIPWA UHARIBIFU HUU NI YEYE
Mwenyesifa hizo tumpe
 
Sisi mgombea wetu hajachoma nyavu zetu halali kwa kujidaia madaraka
Sisi mgombea wetu anathamini vyeti feki walikuwa wanautaalam ndimaana wamezalisha waalimu.wanajeshi kwamaana walinzi

Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni kama kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli.
 
Na: George Kabadi

Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili.

MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu wengi lakini hakuwa bora, hivyo siasa ya 2015 ilikuwa siasa ya upepo usio na mikakati.

PILI, Lowassa alibebwa na nguvu ya umaarufu kwa maana hata wasio wapiga kura waliohudhuria kampeni zake.

Tofauti kubwa iliyopo katika uchaguzi wa mwaka huu na uchaguzi uliopita, ni kuwa Mgombea wa CCM, ni Mgombea ambaye tayari jamii ishauona Mwelekeo wake, na Mgombea wa Upinzani ni Mgombea halisi zao halisi la upinzani.

Tazama kampeni za Tundu Lissu, na tazama kampeni za John Magufuli utagundua kuwa kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi na kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi.

Kuna mapungufu mengi kwa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi kuliko Mgombea Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, nalisema hili bila kificho.

Baada ya TUME YA UCHAGUZI kuidhinisha Wagombea 15 wa kiti cha Urais wa JMT, kwa tiketi ya vyama mbalimbali, kadri muda unavyozidi kwenda ni vyama viwili tu ndiyo vimeonyesha nia ya kushika hatamu, nadhani wengine wamekata moto, sasa ni Chama Cha Mapinduzi-CCM na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema.

Wakati chama Cha Mapinduzi kikijinandi kuwa Mgombea wake ametekeleza mambo mengi katika Uongozi wake wa serikali ya awamu ya tano, chagamoto za uhalisia wa maisha ya mtanzania, bado zinamhukumu hivyo hana budi kukubaliana na chagamoto nyingi atakazo kutana nazo katika kampeni zake, kuna makosa mengi na mara kwa mara yamekuwa yakijirudia, sifahamu ni kwa nini, ama Chama cha Mapinduzi hakina meneja kampeni?

Sifahamu! kwa maana Mgombea wa chama hicho akikosa ubunifu pindi anapokuwa jukwaani na kujikuta akitoa matamko badala ya kumwaga sera. Binafsi hukuona haja ya Dr Magufuli kujibu hoja ya Tundu Lissu kuhusu vitambulisho vya wamachinga.

Jibu alilolitoa ni mtihani kwake mwenyewe, unaposema vitambulisho vya wamachinga havina maana wakati wewe ndiye uliyevitoa unatoa mwanya wa mpinzani wako kukuhoji zaidi.

Najaribu kufikri Mgombea wa CCM anapowaambia wananchi, wakimchagua Mbunge wa Upinzani hatowapelekea maendeleo.
Lakujiuliza hapa ivi CCM wanashindwa kumkanya Mgombea wao kuwa tuko kwenye nchi ya Demokrasia? Watanzania wananahaki ya kumchangua kiongozi wamtakaye na Maendeleo ni haki ya kila mwananchi kwa sababu ndiye mlipa kodi?

Nasema kauli, kauli, kauli, kauli za namna hiyo ni ishara ya kiongozi kushindwa.

Upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, chagamoto yao kubwa ni watu wanaomzunguka Mgombea, ni watu wanaoendeshwa na hulka, kinachoibeba Chadema ni uwezo binafsi wa Mgombea kucheza na akili ya wananchi na mpinzani wake wa karibu.

Akili ya Tundu Lissu inaufanya uchaguzi uwe mgumu, kukosekana kwa fikra mpya ndani ya Chama cha Mapinduzi, kunatoa mwanya kwa Lissu kulitawala jukwaa atakavyo katika kampeni, naweza kusema Tundu Lissu yuko kwenye ubora wa kimataifa.

Kinachompa chagamoto Dr Magufuli ni yeye kuamini ndiye anaweza kuliko watu wanaomzunguka, sijui kwanini Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr Bashiru anashindwa, kutengeneza muunganiko wa jamii moja ndani ya Chama kimoja ili kutuliza hali ya hewa.

Ikiwa hali itaendelea hivi Dr Magufuli ajiandae kisaikolojia, kushindwa kwa 49% au kushinda kwa 51% huenda akaipoteza Ikulu, na Tundu Lissu ajiandae kushindwa kwa 49% au kushinda kwa 51%

Kitendo cha Dr Magufuli kushindwa kuwapa hamasa watu wa Bukoba wakati wa tetemeko la aridhi kumempunguzia kura za kanda ya Ziwa, na kuendelea kudhani watanzania bado ni jamii ya kuendeshwa huenda kukamtia katika promoko la karne.

Kabla ya 28 October 2020 anapaswa awaunganishe wana CCM, ambao hadi sasa wamepasuka, idadi kubwa ya viongozi wa ngazi za juu ndani ya CCM hawamuungi mkono Dr Magufuli, Japokuwa machoni wanampa tabasamu huku nyuma wanamchinja.
Kabla hata ya wapiga kura million 29,188,347 hawamchinja.

Huu ni mtazamo na hoja yangu, binafsi naona.

"Kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi, kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi"

Sijui mtazamo wako!

Kalamu Ya Mwebrania
Na: George Kabadi
MgombeaUrais2035
Ndg Kabadi sijawahi kuwa tofauti na mtazamo wako na Leo japo wewe uko chama cha NCCR hukutaka kuonesha mapenzi ya chama chako lakini jicho lako limeona na kuchambua siasa zetu zinavyobadilika Asante Sana

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Sisi mgombea wetu hajachoma nyavu zetu halali kwa kujidaia madaraka
Sisi mgombea wetu anathamini vyeti feki walikuwa wanautaalam ndimaana wamezalisha waalimu.wanajeshi kwamaana walinzi
Madaktari
Sisi mgombea wetu anathamini watu hujenga kwa mazingira magumu sana kumbomolea mtu bila kumlipa nikunyasa
sisi mgombea wetu amesema atawapandisha mishahara kada mbalimbali na kupandisha madaraja

NDUGU ZANGU LISU KASEMA WOTE TUNALIPWA UHARIBIFU HUU NI YEYE
Mwenyesifa hizo tumpe
Kama ulikuwa na cheti feki nikupe pole.

Hautokaa ulipwe mpaka ukamilfu wa dahari. Na sioni mantiki ya kumtetea mtu aliekuwa na cheti feki wakati aliziba nafasi kwa walio na vyeti halali.

Ni upuuzi huu.
 
Na: George Kabadi

Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili.

MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu wengi lakini hakuwa bora, hivyo siasa ya 2015 ilikuwa siasa ya upepo usio na mikakati.

PILI, Lowassa alibebwa na nguvu ya umaarufu kwa maana hata wasio wapiga kura waliohudhuria kampeni zake.

Tofauti kubwa iliyopo katika uchaguzi wa mwaka huu na uchaguzi uliopita, ni kuwa Mgombea wa CCM, ni Mgombea ambaye tayari jamii ishauona Mwelekeo wake, na Mgombea wa Upinzani ni Mgombea halisi zao halisi la upinzani.

Tazama kampeni za Tundu Lissu, na tazama kampeni za John Magufuli utagundua kuwa kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi na kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi.

Kuna mapungufu mengi kwa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi kuliko Mgombea Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, nalisema hili bila kificho.

Baada ya TUME YA UCHAGUZI kuidhinisha Wagombea 15 wa kiti cha Urais wa JMT, kwa tiketi ya vyama mbalimbali, kadri muda unavyozidi kwenda ni vyama viwili tu ndiyo vimeonyesha nia ya kushika hatamu, nadhani wengine wamekata moto, sasa ni Chama Cha Mapinduzi-CCM na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema.

Wakati chama Cha Mapinduzi kikijinandi kuwa Mgombea wake ametekeleza mambo mengi katika Uongozi wake wa serikali ya awamu ya tano, chagamoto za uhalisia wa maisha ya mtanzania, bado zinamhukumu hivyo hana budi kukubaliana na chagamoto nyingi atakazo kutana nazo katika kampeni zake, kuna makosa mengi na mara kwa mara yamekuwa yakijirudia, sifahamu ni kwa nini, ama Chama cha Mapinduzi hakina meneja kampeni?

Sifahamu! kwa maana Mgombea wa chama hicho akikosa ubunifu pindi anapokuwa jukwaani na kujikuta akitoa matamko badala ya kumwaga sera. Binafsi hukuona haja ya Dr Magufuli kujibu hoja ya Tundu Lissu kuhusu vitambulisho vya wamachinga.

Jibu alilolitoa ni mtihani kwake mwenyewe, unaposema vitambulisho vya wamachinga havina maana wakati wewe ndiye uliyevitoa unatoa mwanya wa mpinzani wako kukuhoji zaidi.

Najaribu kufikri Mgombea wa CCM anapowaambia wananchi, wakimchagua Mbunge wa Upinzani hatowapelekea maendeleo.
Lakujiuliza hapa ivi CCM wanashindwa kumkanya Mgombea wao kuwa tuko kwenye nchi ya Demokrasia? Watanzania wananahaki ya kumchangua kiongozi wamtakaye na Maendeleo ni haki ya kila mwananchi kwa sababu ndiye mlipa kodi?

Nasema kauli, kauli, kauli, kauli za namna hiyo ni ishara ya kiongozi kushindwa.

Upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, chagamoto yao kubwa ni watu wanaomzunguka Mgombea, ni watu wanaoendeshwa na hulka, kinachoibeba Chadema ni uwezo binafsi wa Mgombea kucheza na akili ya wananchi na mpinzani wake wa karibu.

Akili ya Tundu Lissu inaufanya uchaguzi uwe mgumu, kukosekana kwa fikra mpya ndani ya Chama cha Mapinduzi, kunatoa mwanya kwa Lissu kulitawala jukwaa atakavyo katika kampeni, naweza kusema Tundu Lissu yuko kwenye ubora wa kimataifa.

Kinachompa chagamoto Dr Magufuli ni yeye kuamini ndiye anaweza kuliko watu wanaomzunguka, sijui kwanini Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr Bashiru anashindwa, kutengeneza muunganiko wa jamii moja ndani ya Chama kimoja ili kutuliza hali ya hewa.

Ikiwa hali itaendelea hivi Dr Magufuli ajiandae kisaikolojia, kushindwa kwa 49% au kushinda kwa 51% huenda akaipoteza Ikulu, na Tundu Lissu ajiandae kushindwa kwa 49% au kushinda kwa 51%

Kitendo cha Dr Magufuli kushindwa kuwapa hamasa watu wa Bukoba wakati wa tetemeko la aridhi kumempunguzia kura za kanda ya Ziwa, na kuendelea kudhani watanzania bado ni jamii ya kuendeshwa huenda kukamtia katika promoko la karne.

Kabla ya 28 October 2020 anapaswa awaunganishe wana CCM, ambao hadi sasa wamepasuka, idadi kubwa ya viongozi wa ngazi za juu ndani ya CCM hawamuungi mkono Dr Magufuli, Japokuwa machoni wanampa tabasamu huku nyuma wanamchinja.
Kabla hata ya wapiga kura million 29,188,347 hawamchinja.

Huu ni mtazamo na hoja yangu, binafsi naona.

"Kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi, kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi"

Sijui mtazamo wako!

Kalamu Ya Mwebrania
Na: George Kabadi
MgombeaUrais2035
Kipindi cha kwanza bado hakijaisha chali!
FB_IMG_16010444482741133.jpeg
 
Mambo yamekua mambo

Membe.jpeg
 
Kama ulikuwa na cheti feki nikupe pole.

Hautokaa ulipwe mpaka ukamilfu wa dahari. Na sioni mantiki ya kumtetea mtu aliekuwa na cheti feki wakati aliziba nafasi kwa walio na vyeti halali.

Ni upuuzi huu.
Hao walio zibiwa nafasi zao wameajiriwa lini?
 
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni kama kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli.

ccm wenyewe kwa wenyewe wamemsusa mgombea wao wa sasa...
Ujue hiki chama kilikuwa kife 2015...
Sema JK hakuwa jiwe... Akamchonganishia JPM
 
Back
Top Bottom