Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
Matokeo ya uchaguzi mwaka 2015:
Magufuli alipata kura 8M
Lowassa 6M
Idadi kamili ya waliokuwa wamejiandikisha ilikua ni 23M. Hivyo takriban watu 9M hawakupiga kura.
Kwa mtazamo wangu, sababu kubwa iliofanya watu 9M wasipige kura ilikuwa ni ujio wa Edward Lowassa upinzani na Dkt. Slaa kujitoa upinzani na kuvujisha siri ya jinsi Lowassa alivyowanunua mabosi wa upinzani kipindi hicho.
Hivyo ninaamini uchaguzi huu utakua ni mgumu sana kwa pande zote kwani upinzani wamemsimamisha mgombea ambaye hana makandokando yoyote na sifa zake nzuri zinajulikana na Watanzania wengi.
Kwa upande wa Rais Magufuli naye nadhani kila mtu anafahamu nini amekifanya kwa awamu yake ya kwanza.
Tukutane oktoba 29.
Sent using Jamii Forums mobile app