Uchaguzi 2020 Tandahimba: Tutawahudumia wazee waliolitumikia taifa letu

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20201020-144826.png
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA"

TANDAHIMBA

Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima
kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa
muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha.

Hatua kwa hatua kila mzee
atakuwa na haki ya kulipwa kila mwezi fao la uzee kwa ajili
ya afya na hifadhi yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom