Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Bank, Mombo - Korogwe Vijijini. Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Mombo ametoa maneno ya Utangulizi.
Watu wa Korogwe hapa sio...
TABIA ZA WAPIGA KURA!
1. Mara nyingi sio wazungumzaji sana, hutulizana na jambo lao ndani ya mioyo yao. Sio wapiga kelele, si wapiga DEBE. Uaumuzi wao hujengwa ktk msingi wa SIRI hadi siku ya...
Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa kwa mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2019/2020 katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya ni pamoja na ujenzi wa stendi ya Mbalizi kiasi cha shilingi milioni...
Tumekuwa tukisikia wanasiasa fulani wakijisifu kuleta maendeleo kwa kununua ndege na wengine wakikosoa vikali uamuzi huo.
Ukweli unaokubalika kwa makundi yote mawili kuhusu usafiri wa ndege ni...
CCM ni chama kinachotawala Tanzania.Kimetawala kuanzia mwaka 1977 hada sasa.Tangu mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992 ni CCM tu imeendelea kushinda na kuongoza Tanzania kwa sera zake,chama cha...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Demokrasia Makini, Cecilia Mmanga amesema vijana wawe kama marasta, wasisubiri ajira za serikali.
Amesema hayo alipoulizwa kuhusu namna...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 yatatangazwa Da es Salaam na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali
Dodoma ni Makao Makuu ya Tume hiyo...
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana...
CCM wamekuwa wakijinasibu kwamba watashinda kwa kishindo,lakini mbinu pekee wanayofikiria kuitumia ni hii ya mawakala.
Zipo namna mbili za kutumia, mosi ni kuwatimua mawakala wote na vituoni...
Tume ya uchaguzi zipo taarifa za wakurugenzi kutoa taarifa zinazokinzana za vituo, muda na tarehe kuapishwa mawakala.
Tokeni adharani mweke ratiba wazi watu wasome nakuteleza. Itashangaza kusikia...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema ili uchaguzi uwe huru na haki ni lazima mawakala wote waapishwe.
Amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa...
Kwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt John Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano anayemaliza muhula wake wa kwanza amesema hakuzaliwa Rais.
Amesema Urais...
Huku siku zikizidi kuyoyoma kwa kasi kubwa kuelekea tarehe ya kupiga kura , Mh Lissu naye anaendelea kuchanja mbuga hapa na pale ili kuomba kura kwa wananchi .
Leo anaendelea na mikutano yake...
Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za...
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
"Lakini TFF lazima niifute kwanza, ninawaomba Watanzania mnipe ridhaa yenu nikaifute TFF ndio inayotuletea migogoro, hizi timu zetu zisingekuwa na migogoro, mara migogoro na wawekezaji mara...
Hi itasaidia kuondoa mawakala fake watakaojitokeza ili kuleta mchezo na kuwasaidia CCM kuchezea uchaguzi
Ikiwezekana kabisa mngeweka na picha zao na majina yao matatu.
Huu uchaguzi hatutaki...
Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa.
=====
Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu...
RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.