Uchaguzi 2020 Namuombea kura za ndio za kishindo Dkt. Magufuli

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
Na Emmanuel J. Shilatu

Harakati za kampeni za uchaguzi Mkuu zinashika kasi kuelekea upigaji kura Oktoba 28, 2020. Wagombea wapo wengi ila leo nitawaeleza kwanini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achaguliwe tena kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanini tumpe miaka 5 tena Rais Magufuli?

Sababu 5 za kwanini tumchague Dk. Magufuli awe tena Rais wa Tanzania.

Kwanza; Dkt. Magufuli ndio mgombea pekee kati ya wote mwenye uzoefu wa kiuongozi kitaifa kwa nafasi ya Rais kwani miaka mitano iliyopita alikuwa mgeni lakini sasa anauzoefu wa kutosha, anaijua nchi vilivyo kuliko mgombea yeyote yule. Dkt. John Pombe Magufuli atafanya vizuri zaidi endapo atapewa miaka mingine ya kuwa Rais wa Tanzania kuliko mgombea yeyote yule.

Pili; Haiba yake imebeba uzito na uhalali wa kura yako kwake. Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye sifa zote za uadilifu, uzalendo, uchapa kazi, ufuatiliaji na ucha Mungu. Nyota ya Dkt. Magufuli inang'ara zaidi kutokana na haiba ya matendo na ufanisi wake kiutendaji. Ni uchaguzi Mkuu wa kumpigia kura kiongozi mchapa kazi, mfuatiliaji, muadilifu asiye na makando kando, kura ya turufu hapa inamstahili Rais Magufuli.

Tatu; Kuna kazi kubwa ameianza ya ujenzi wa Taifa anahitaji apewe awamu nyingine ya miaka mitano aweze kuikamilisha. Rais Magufuli ameanzisha ujenzi wa miradi ya kimkakati ya kimaendeleo zaidi ya 50 anayohitaji aongeze muda zaidi aikamilishe tuone matokeo chanya yake. Kumchagua mtu mwingine ni kuharibu mageuzi haya ya kiuchumi.

Nne; Rais Magufuli ameyafanya yasiwezekana yawezekane Tanzania. Mathalani utolewaji wa elimu bure; mapambano ya kweli ya rushwa na ufisadi; maboresho ya utendaji kazi Serikalini; Utoaji wa huduma kwa jamii mijini na vijijini mathalani leo hii umeme upo karibia vijiji vyote, maji mijini na vijijini, huduma bora za afya mpaka maeneo ya vijijini. Kumchagua mwingine nje ya Rais Magufuli ni kujirudisha nyuma miaka 50.

Tano; Rais Magufuli ameendeleza vyema misingi iliyowekwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Nyerere na Mzee Karume kwa kuhakikisha anaondoa matabaka, ukabila, udini na hivyo kuleta umoja, usawa na haki nchini. Ndio maana leo hii hakuna tena ile kauli ya "unanijua Mimi nitakupoteza", hakuna tena ubabe na unyanyasaji huo kwa wanyonge.

Kwa misingi ya kuchagua kiongozi mwenye sifa zote za kuleta maendeleo, Rais Magufuli ndio suluhisho na matumizi sahihi ya kura yako ya ndio kwake. Mpe 5 tena Rais Magufuli.

*Shilatu, E.J*
IMG_20201021_182329_576.jpeg
IMG_20201021_182329_575.jpeg
 
Nmeishia hapo kwenye sababu ya kwanza

Mtoa mada uwe unapima kwanza maandiko ya watu ndo ulete humu maana humu utaunganishwa nawee uonekane niwalewale tope kichwan.

Kwa magufuli aliwah kua Rais wa JMT kabla ya 2015??

Mbona alipewa bila ya kua na Uzoefu wa nafasi ya Urais??..:Kikwete, Mkapa, Mwinyi??.
 
Shilatu maana yake ni nini kwanza
Shilatu usikute ndiye Ngosha, maana hapa hata hatusemi
subiri kichinjio ww tunza chako
 
Na Emmanuel J. Shilatu

Harakati za kampeni za uchaguzi Mkuu zinashika kasi kuelekea upigaji kura Oktoba 28, 2020. Wagombea wapo wengi ila leo nitawaeleza kwanini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achaguliwe tena kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanini tumpe miaka 5 tena Rais Magufuli?

Sababu 5 za kwanini tumchague Dk. Magufuli awe tena Rais wa Tanzania.

Kwanza; Dkt. Magufuli ndio mgombea pekee kati ya wote mwenye uzoefu wa kiuongozi kitaifa kwa nafasi ya Rais kwani miaka mitano iliyopita alikuwa mgeni lakini sasa anauzoefu wa kutosha, anaijua nchi vilivyo kuliko mgombea yeyote yule. Dkt. John Pombe Magufuli atafanya vizuri zaidi endapo atapewa miaka mingine ya kuwa Rais wa Tanzania kuliko mgombea yeyote yule.

Pili; Haiba yake imebeba uzito na uhalali wa kura yako kwake. Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye sifa zote za uadilifu, uzalendo, uchapa kazi, ufuatiliaji na ucha Mungu. Nyota ya Dkt. Magufuli inang'ara zaidi kutokana na haiba ya matendo na ufanisi wake kiutendaji. Ni uchaguzi Mkuu wa kumpigia kura kiongozi mchapa kazi, mfuatiliaji, muadilifu asiye na makando kando, kura ya turufu hapa inamstahili Rais Magufuli.

Tatu; Kuna kazi kubwa ameianza ya ujenzi wa Taifa anahitaji apewe awamu nyingine ya miaka mitano aweze kuikamilisha. Rais Magufuli ameanzisha ujenzi wa miradi ya kimkakati ya kimaendeleo zaidi ya 50 anayohitaji aongeze muda zaidi aikamilishe tuone matokeo chanya yake. Kumchagua mtu mwingine ni kuharibu mageuzi haya ya kiuchumi.

Nne; Rais Magufuli ameyafanya yasiwezekana yawezekane Tanzania. Mathalani utolewaji wa elimu bure; mapambano ya kweli ya rushwa na ufisadi; maboresho ya utendaji kazi Serikalini; Utoaji wa huduma kwa jamii mijini na vijijini mathalani leo hii umeme upo karibia vijiji vyote, maji mijini na vijijini, huduma bora za afya mpaka maeneo ya vijijini. Kumchagua mwingine nje ya Rais Magufuli ni kujirudisha nyuma miaka 50.

Tano; Rais Magufuli ameendeleza vyema misingi iliyowekwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Nyerere na Mzee Karume kwa kuhakikisha anaondoa matabaka, ukabila, udini na hivyo kuleta umoja, usawa na haki nchini. Ndio maana leo hii hakuna tena ile kauli ya "unanijua Mimi nitakupoteza", hakuna tena ubabe na unyanyasaji huo kwa wanyonge.

Kwa misingi ya kuchagua kiongozi mwenye sifa zote za kuleta maendeleo, Rais Magufuli ndio suluhisho na matumizi sahihi ya kura yako ya ndio kwake. Mpe 5 tena Rais Magufuli.

*Shilatu, E.J*View attachment 1607671View attachment 1607673
Kweli hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.Leo hii magu anaombewa kura kwa kupiga magoti,na ubabe wote ule Leo kanywea.
Nimeamini kila mbabe na mbabe wake.mataga mnakesha humu jf.
 
Tatu; Kuna kazi kubwa ameianza ya ujenzi wa Taifa anahitaji apewe awamu nyingine ya miaka mitano aweze kuikamilisha. Rais Magufuli ameanzisha ujenzi wa miradi ya kimkakati ya kimaendeleo zaidi ya 50 anayohitaji aongeze muda zaidi aikamilishe tuone matokeo chanya yake. Kumchagua mtu mwingine ni kuharibu mageuzi haya ya kiuchumi.

Hatumpi kura.
Mwinyi, Nkapa, na pia Kikwete kila mmoja aling'atuka na kuiacha miradi mingi tu ingari haijakamilika, lakini aliyemfuata aliimalizia.
Lissu ataimalizia hiyo miradi.

mapambano ya kweli ya rushwa na ufisadi; maboresho ya utendaji kazi Serikalini; Utoaji wa huduma kwa jamii mijini na vijijini mathalani leo hii umeme upo karibia vijiji vyote, maji mijini na vijijini,
Duh! Magufuli ni fisadi tu kama wengine, anachokifanya ni usanii wa kuzuga wananchi ili aonekane ni msafi.
 
Nilianza kusoma hii article lakini nilisimama mara tu pale niliposoma sababu ya kwanza tu kati ya sababu tano alizoziorodhesha muandishi wa makala hii. Ni aina gani ya matapishi haya! Eti Dkt. Magufuli ndio mgombea pekee kati ya wote mwenye uzoefu wa kiuongozi kitaifa kwa nafasi ya Rais. Hivi huyu muandishi alisoma alichokiandika kweli? Kwani miaka mitano iliyopita Magufuli alikuwa na uzoefu gani? Hakuwa na uzoefu wowote na alipewa nchi, sasa kwa nini mara hii asipewe mwengine ambae hana uzoefu? Na ikiwa tu tutakaa na kuwapa watu uraisi kwa sababu tu wana uzoefu basi naona si hasha nasi tukawa kama jirani zetu Uganda, kila ikifika wakati wa kuchagua rais tumchague alie na uzoefu, hence ni yule alokuwa tayari yupo madarakani, kwa sababu wengine hawana uzoefu!

Tutaamka lini watanzania?
 
Na Emmanuel J. Shilatu

Harakati za kampeni za uchaguzi Mkuu zinashika kasi kuelekea upigaji kura Oktoba 28, 2020. Wagombea wapo wengi ila leo nitawaeleza kwanini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achaguliwe tena kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanini tumpe miaka 5 tena Rais Magufuli?

Sababu 5 za kwanini tumchague Dk. Magufuli awe tena Rais wa Tanzania.

Kwanza; Dkt. Magufuli ndio mgombea pekee kati ya wote mwenye uzoefu wa kiuongozi kitaifa kwa nafasi ya Rais kwani miaka mitano iliyopita alikuwa mgeni lakini sasa anauzoefu wa kutosha, anaijua nchi vilivyo kuliko mgombea yeyote yule. Dkt. John Pombe Magufuli atafanya vizuri zaidi endapo atapewa miaka mingine ya kuwa Rais wa Tanzania kuliko mgombea yeyote yule.

Pili; Haiba yake imebeba uzito na uhalali wa kura yako kwake. Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye sifa zote za uadilifu, uzalendo, uchapa kazi, ufuatiliaji na ucha Mungu. Nyota ya Dkt. Magufuli inang'ara zaidi kutokana na haiba ya matendo na ufanisi wake kiutendaji. Ni uchaguzi Mkuu wa kumpigia kura kiongozi mchapa kazi, mfuatiliaji, muadilifu asiye na makando kando, kura ya turufu hapa inamstahili Rais Magufuli.

Tatu; Kuna kazi kubwa ameianza ya ujenzi wa Taifa anahitaji apewe awamu nyingine ya miaka mitano aweze kuikamilisha. Rais Magufuli ameanzisha ujenzi wa miradi ya kimkakati ya kimaendeleo zaidi ya 50 anayohitaji aongeze muda zaidi aikamilishe tuone matokeo chanya yake. Kumchagua mtu mwingine ni kuharibu mageuzi haya ya kiuchumi.

Nne; Rais Magufuli ameyafanya yasiwezekana yawezekane Tanzania. Mathalani utolewaji wa elimu bure; mapambano ya kweli ya rushwa na ufisadi; maboresho ya utendaji kazi Serikalini; Utoaji wa huduma kwa jamii mijini na vijijini mathalani leo hii umeme upo karibia vijiji vyote, maji mijini na vijijini, huduma bora za afya mpaka maeneo ya vijijini. Kumchagua mwingine nje ya Rais Magufuli ni kujirudisha nyuma miaka 50.

Tano; Rais Magufuli ameendeleza vyema misingi iliyowekwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Nyerere na Mzee Karume kwa kuhakikisha anaondoa matabaka, ukabila, udini na hivyo kuleta umoja, usawa na haki nchini. Ndio maana leo hii hakuna tena ile kauli ya "unanijua Mimi nitakupoteza", hakuna tena ubabe na unyanyasaji huo kwa wanyonge.

Kwa misingi ya kuchagua kiongozi mwenye sifa zote za kuleta maendeleo, Rais Magufuli ndio suluhisho na matumizi sahihi ya kura yako ya ndio kwake. Mpe 5 tena Rais Magufuli.

*Shilatu, E.J*View attachment 1607671View attachment 1607673
Mtu mbaguzi, mkabila na mkatili hatufai watanzania.
 
Umesahau kuweka namba ys simu mwishoni
Aka ni kale kaganga njaa ka Kakonko Kigoma,kalikuwa kadiwani huko,mwaka jana kakanunuliwa sijui kwa migebuka au unga wa mihogo,nashangaa kukaona humu.Kamsubirie Lissu aape kaje tena kulamba nyayo.YEWE MUGABO winduse kwi jambo uli mugolagole.Umugabo yinduka ku bulili.
 
Nasikia mtu uyu mnadai ati ni mnyenyekevu uyu jamaa??

Dah mi na jamii yangu tunamchukulia kwa tabia sawa na Iddi Amin Dadaa au bokasa walokuwa na roho mbaya ajabu

Back
Top Bottom