Uchaguzi 2020 Kama wagombea urais wenye 'akili' kama huyu 'wanaifagilia' waziwazi CCM, wewe ni nani uichukie na kuikataa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,795
"CCM sio mbaya ila kuna baadhi ya watendaji wanafanya mambo yanapelekea watu kuja kuichukia CCM..CCM naipenda kutokana na ile mifumo ila kuna baadhi wanayoyafanya watendaji sio mazuri, CCM ingekuwa mbaya tusingekuwa na amani".Mgombea Urais (Demokrasia Makini) Cecilia Mmanga'

ITV Tanzania

Ninachojua tu ni kwamba Watanzania 29,188,347 na 100% ya JamiiForums 'Members' tutampigia 'Kura' zetu zote Ndugu Dk. John Pombe Magufuli.
 
Back
Top Bottom