Kwenu Familia ya Ali Hassan Mwinyi
1. Mzee Ali Hassan Mwinyi
Ulijiuzulu miaka ya 1970 kwa sababu ya mauaji ya watu wasio na hatia wakiwa katika mikono ya dola, leo napenda nikufahamishe mzee wetu...
Wakuu Habarini za Asubuhi.
Nilikuwa naomba mwenye ufahamu kuhusu hiyo title hapo anijuze.
Je, Jeshi la wananchi wa Tanzania pamoja na Askari polisi nao huwa wana haki ya kupiga kura kuchagua...
Wanabodi,
Mimi nimejibainisha humu kuwa ni mtu mkweli daima ambaye sio tuu nina Chama, bali pia ni kada, ila ninatanguliza mbele maslahi ya taifa na sio ukada wangu. CCM wakifanya mazuri...
Kuondoa vyama tawala madarakani ni shughuli pevu hasa kwa nchi za Afrika. Vimekumpatia mfumo usio wa usawa na haki. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi viko chini yake. Uaoma kwa undani kwa nini na...
Akizungumza kutoka Singida Mgombea huyo wa Urais wa CHADEMA, Mhe. Lissu amefichua njama za kishamba za TCRA na idara ya habari maelezo za kushughulikia vyombo vya habari vinavyoripoti habari zake...
Ndugu zangu mimi ni CCM tangu udogo wangu na mwenye kadi hai kabisa nikiwa na maana kadi yangu nailipia kila mwaka.Nilijiunga CCM rasmi kwa maana yakuchukua kadi ya uanachama 2019 mara baada...
Wanabodi,
Leo ni Jumatatu nyingine, nimepata fursa za kuendelea na zile makala zangu za “Kwa Maslahi ya Taifa”, kwa vile sakata la kushikiliwa kwa ndege yetu nchini Afrika ya Kusini, kunaendelea...
Nimesikia kutoka BBC kuwa Maafisa wa Uchaguzi na wanausalama wamepiga kura leo kwa sababu kesho watakuwa bize. Kumbuka kuwa kesho kutakuwa na uchaguzi wa NEC. Kwa hiyo tutarajie kuwa waliopiga...
Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kupiga kura leo.
Amesema leo ni siku muhimu kwa Taifa hivyo wananchi...
UCHAGUZI 2020: WAGOMBEA WANAWAKE KATIKA NAFASI YA URAIS, UDIWANI NA UBUNGE
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Kaijage amesema Wagombea wanawake katika kiti cha Rais ni 2 kati ya 15...
Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na...
Nimesikia 'mitandaoni' kauli ya Mh. Rais kwamba anatamani malaika washuke wazime hiyo mitandao. Kupitia kauli hii, tunagundua mambo makubwa matatu na mengine madogodogo.
1. Rais anafuatilia sana...
Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu.
Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu.
Pamoja na...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.