dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,990
Haya bwana msome mwenyewe alichonena hapa.
Haya bwana msome mwenyewe alichonena hapa.View attachment 1585435
Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCMMkuu peleke google translate maana hapa babu wa Lumumba hataelewa atajua amesifiwa kwa kununua ndege 11 na flyover
Mlelwa atawasuta watu Fulani huko alikoAmani ni tunda la haki
Tetetete mkuu mi F4 failure iliyobora siyo kama M/kiti wako wa taifa.Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM
Du asante maana wale wa ' pipo uzi ti dai in ze reki' walishapoteana."Nina wasiwasi na ripoti ninazosikia juu ya vurugu za kisiasa na kuongezeka kwa jumla kwa mivutano tunapokaribia uchaguzi wa Tanzania. Ninahimiza vyama vyote kujitolea kwa uchaguzi huru, wa haki, na wa amani. Kama usemi unavyosema: Amani ni tunda la haki."
Ambassador Donald J. Wright
Waangalie uchaguzi wao mkuu kwanzaHaya bwana msome mwenyewe alichonena hapa.View attachment 1585435