CCM Msifanye Inda, Kuwapongeza Wapinzani, kwa Mazuri Yao.Hongera Chadema Kupika Majembe Kazi. CCM, Inayalimia, Why Sifa ni kwa Mlaji Sio Mpishi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,494
113,590
Wanabodi,

Mimi nimejibainisha humu kuwa ni mtu mkweli daima ambaye sio tuu nina Chama, bali pia ni kada, ila ninatanguliza mbele maslahi ya taifa na sio ukada wangu. CCM wakifanya mazuri nawapongeza, wakifanya mabaya nawakosoa, vivyo hivyo kwa wapinzani wakifanya vizuri nawapongeza, wakichemsha nawakosoa.

Hili ni bandiko la pongezi kwa Chadema kwa kuwa wapishi mahiri wa majembekazi, ambayo Chadema ndio wazalishaji, wanaunda, kwa kupanda mbegu, kutia mbolea, kumwagilia, kupalilia, lakini ukifika muda wa mavuno, CCM Sasa ndio inaingia kuwavuna na sifa zote za utendaji wao uliotukuka, unakwenda kwa CCM ambaye ni mpakuaji tuu na mlaji na sio mpishi, kwa nini sifa za kupika chakula kizuri, kitamu, ziende kwa mlaji tuu na sio mpishi.

Naomba kukiri, nimekua inspired na bandiko hili kufuatia kitendo cha kishujaa, cha kishupavu ms cha kizalendo cha Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Petrobras Katambi kukataa rushwa na kumripoti muhongaji takukuru.

Hii maana, hao waongoji walizoea kuwahonga viongozi wa CCM, na kwa kumbukumbu yangu, sikumbuki ni lini kiongozi yoyote wa CCM aliwahi kuripoti rushwa kwa Takukuru, sasa kwa vile Katambi amejiunga CCM, watoa wakajua ni CCM as usual, wakamwingia kumhonga, kumbe this is CCM made in Chadema.

Majembekazi ya Chadema yaliyopo CCM yanafanya wonders na all the credits goes to CCM walaji tuu badala ya
wapishi.

Baadhi ya majembekazi ya Chadema na upimzani ndani ya serikali ya CCM,
  1. Prof. Kitila Mkumbo
  2. Anna Mghwira
  3. Juliana Shonza
  4. Mwikwabe Mwita Waitara
  5. Patrobras Katambi
  6. David Kafulila
  7. Julius Mtatiro
  8. James Ole Milya

Wito: CCM msifanye inda kuwashukuru Chadema na kuwapongeza kwa kuwapatia majembekazi wanaoipaisha
CCM na kuwapatia sifa, hivyo CCM msione shida ku copy mazuri ya upinzani, na wapinzani wanapofanya vizuri mjisisikie
wazito kuwapongeza.

P
 
waitara kafanya nini na unaibu waziri wake??, unakuja na bandiko kwa mgongo wa chadema kumshukuru aliyewateua??. Kwahiyo unataka mutuamisha kuwa ccm ni Rushwa?? Mwenyekit Taifa mpaka shina!!
 
Tuje kwa CCM katika kuandaa viongozi wenye sifa ya kugombea urais kwa vyama vyote na wakatumiwa mpaka na upinzani. Mgombea wa CHADEMA 2015 mwanaCCM , mgombea wa CUF alikuwa mwanaCCM na wengine wengi walikuwa wanaCCM.
 
Kuna kati ya hao majina ambaye hakuwa ccm kabla ya kwenda chadema? Labda Katambi ndo sijui historia yake ccm na Mtatiro aliyekuwa CUF.
 
Wanabodi,

Mimi nimejibainisha humu kuwa ni mtu mkweli daima ambaye sina Chama, CCM wakifanya mazuri nawapongeza, wakifanya
mabaya nawakosoa, vivyo hivyo kwa wapinzani wakifanya vizuri nawapongeza, wakichemsha nawakosoa. Hili ni bandiko la
pongezi kwa Chadema kwa kuwa wapishi mahiri wa majembekazi, ambayo Chadema ndio wazalishaji, wanaunda, kwa kupanda mbegu, kutia mbolea, kumwagilia, kupalilia, lakini ukifika muda wa mavuno, CCM Sasa ndio inaingia kuwavuna na
sifa zote za utendaji wao uliotukuka, unakwenda kwa CCM ambaye ni mpakuaji tuu na mlaji na sio mpishi, kwa nini sifa za kupika chakula kizuri, kitamu, ziende kwa mlaji tuu na sio mpishi.

Naomba kukiri, nimekua inspired na bandiko hili kufuatia kitendo cha kishujaa, cha kishupavu ms cha kizalendo cha
Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Petrobras Katambi kukataa rushwa na kumripoti muhongaji takukuru.

Hii maana, hao waongoji walizoea kuwahonga viongozi wa CCM, na kwa kumbukumbu yangu, sikumbuki ni lini kiongozi yoyote wa CCM aliwahi kuripoti rushwa kwa Takukuru, sasa kwa vile Katambi amejiunga CCM,
watoa wakajua ni CCM as usual, wakamwingia kumhonga, kumbe this is CCM made in Chadema.

Majembekazi ya Chadema yaliyopo CCM yanafanya wonders na all the credits goes to CCM walaji tuu badala ya
wapishi.

Baadhi ya majembekazi ya Chadema na upimzani ndani ya serikali ya CCM,
  1. Prof. Kitila Mkumbo
  2. Anna Ngirwa
  3. Juliana Shonza
  4. Mwikwabe Mwita Waitara
  5. Petrobras Katambi
  6. David Kafulila
  7. Julius Mtatiro
  8. James Ole Milya

Wito: CCM msifanye inda kuwashukuru Chadema na kuwapongeza kwa kuwapatia majembekazi wanaoipasha
CCM na kuwapatia sifa, hivyo CCM msione shida ku copy mazuri ya upinzani, na wapinzani wanapofanya vizuri mjisisikie
wazito kuwapongeza.

P
Nilikuwa nakufuatilia kwa karibu na kukuheshimu. Sasa wewe ni kinyonga lazima nitaziona rangi zote.
 
Kwanza Inda maana yake ni nini?

Ila Kaka kwanini umejitetea sana hapo mwanzo kuwa upo hivi sijui sio vile.. ungewaacha tu wadau wale wa humu.. watakusema tu kama hawajakusoma. 😁
 
Wanabodi,

Mimi nimejibainisha humu kuwa ni mtu mkweli daima ambaye sina Chama, CCM wakifanya mazuri nawapongeza, wakifanya
mabaya nawakosoa, vivyo hivyo kwa wapinzani wakifanya vizuri nawapongeza, wakichemsha nawakosoa. Hili ni bandiko la
pongezi kwa Chadema kwa kuwa wapishi mahiri wa majembekazi, ambayo Chadema ndio wazalishaji, wanaunda, kwa kupanda mbegu, kutia mbolea, kumwagilia, kupalilia, lakini ukifika muda wa mavuno, CCM Sasa ndio inaingia kuwavuna na
sifa zote za utendaji wao uliotukuka, unakwenda kwa CCM ambaye ni mpakuaji tuu na mlaji na sio mpishi, kwa nini sifa za kupika chakula kizuri, kitamu, ziende kwa mlaji tuu na sio mpishi.

Naomba kukiri, nimekua inspired na bandiko hili kufuatia kitendo cha kishujaa, cha kishupavu ms cha kizalendo cha
Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Petrobras Katambi kukataa rushwa na kumripoti muhongaji takukuru.

Hii maana, hao waongoji walizoea kuwahonga viongozi wa CCM, na kwa kumbukumbu yangu, sikumbuki ni lini kiongozi yoyote wa CCM aliwahi kuripoti rushwa kwa Takukuru, sasa kwa vile Katambi amejiunga CCM,
watoa wakajua ni CCM as usual, wakamwingia kumhonga, kumbe this is CCM made in Chadema.

Majembekazi ya Chadema yaliyopo CCM yanafanya wonders na all the credits goes to CCM walaji tuu badala ya
wapishi.

Baadhi ya majembekazi ya Chadema na upimzani ndani ya serikali ya CCM,
  1. Prof. Kitila Mkumbo
  2. Anna Mghwira
  3. Juliana Shonza
  4. Mwikwabe Mwita Waitara
  5. Patrobras Katambi
  6. David Kafulila
  7. Julius Mtatiro
  8. James Ole Milya

Wito: CCM msifanye inda kuwashukuru Chadema na kuwapongeza kwa kuwapatia majembekazi wanaoipasha
CCM na kuwapatia sifa, hivyo CCM msione shida ku copy mazuri ya upinzani, na wapinzani wanapofanya vizuri mjisisikie
wazito kuwapongeza.

P
Me binafsi nakuheshimu Sana na mada zako nzito unazotoa me nakushauri please tengeneza hoja kutokana na the way you see in your mind usiendeshwe na presha za watu waswahili wanasema kila msafara wa mamba na kenge wapo hao watu wanaokuwambia unatafuta ukuu wa wilaya au kuponda hoja zako Bila kuwa na hoja nzito lengo lao ni kutaka ufanane na fikra zao ambayo sio democracy kabisa ila kwa hii hoja ulioleta umeandika tu ili uwafurahishe hao mashabiki maandazi wanaokuponda ila kwa Mara ya kwanza umeniangusha kwa hii hoja ulioleta Leo.
 
Bro P, juzi kati ulijidhihirisha rangi yako halisi. Heshima uliyoijenga kwa muda mrefu humu jamvini ukaipolomosha ghafula sijui ulipatwa na nini?, ila wewe unajua!.

All in all wajanja wenzio wamekwisha kufahamu ulivyo!. Huu ni uwanja huru endelea kuwa Kinyonga, wang'amzi mambo wanakufamu fika!.
 
Back
Top Bottom