Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa leo kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa Kumi Jioni, Watanzania pande zote wataenda kuamua wanampa nani kuiongoza nchi kwa Miaka 5 tena, Basi tukawe na uchaguzi mwema, mchague kiongozi...
1 Reactions
5 Replies
673 Views
Kwenu Wana badi; Ikiwa Ni mapema kabisa mwa siku maalumu ya Leo 28/10/2020 ambapo Hatma ya Amani ya taifa inaenda kujulikana Baadaye ningependa kuwakumbusha haya machache Wagombea wote wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ni katika maeneo machache niliyofanikiwa kupitapita katika viunga vya jiji la DAR hasa kwenye ofisi nyingi za ccm, tofauti kabisa na hali kwenye Ofisi za Wapinzani ambako zilikua zimefungwa...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Waheshimiwa:- Dkt. John Pombe Magufuli Adv Tundu Antipas Lissu Maalim Seif Sharif Hamadi Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na Wengine - Salaam za 28/10/2020!!! Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amani kwenu wazalendo wenzangu: Baada ya salaam ningependa kusema kuwa uchaguzi uliopita una mapungufu makubwa sana. Mapungufu mengi ni ya masuala ya kikatiba ambayo yamekuwepo kwa muda mrefu...
13 Reactions
757 Replies
171K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao. Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu. Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya...
50 Reactions
141 Replies
11K Views
JE WAJUA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUJULISHA KITUO CHAKO CHA KUPIGIA KURA? Kwa simu yako bofya namba *152*00# kisha chagua namba 9(Uchaguzi Mkuu), kisha chagua namba 1(Uhakikiwa Taarifa za Mpiga Kura)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka. Akiwa mkoani Mara Tundu...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini...
25 Reactions
89 Replies
6K Views
Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo...
39 Reactions
146 Replies
19K Views
Hii ndio habari mpya inayozunguka Mjini Mbeya kwa sasa
16 Reactions
43 Replies
6K Views
Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais. Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza naomba kuuliza huko ulipo huduma yako ya internet ipo katika hali gani, whasapp je, YOUTUBE je, TELEGRAM je, google play store je.. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu muweza wa yote. Sauti ya...
45 Reactions
134 Replies
12K Views
Niseme kwa dhati kabisa bila kumung'unya maneno mimi nakubali sana utendari wa dk magufuli amefanya mambo makubwa sana na ameonyesha njia. Mfano nzuri tu ni mradi wa Rufiji hapa nampongeza kwa...
28 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Magufuli ametangaza rasmi kuwa kesho Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa ili kuwapa fursa Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kwenda kupiga kura "nawaomba tukapige...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom