Uchaguzi 2020 Nawatakia Watanzania wote Uchaguzi wenye Baraka na Amani ya Mungu ile ipitayo fahamu zote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,202
2,000
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.

Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi chuki wala uadui.

Kazi na Iendelee.

Maendeleo hayana vyama!
 

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,508
2,000
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,202
2,000
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
Wahi mapema ukapige kura yako!
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,108
2,000
CCM ina wapiga kura milioni 22 ( 22,000,000)
IMG_20201028_002359.jpg

Laiti ningekuwa mwana CCM huu ungekuwa ni muda wangu wa kuomba rehema na toba kwa kuji associate na chama Cha machinjachinja ambacho hakithamini utu wa mtu ili damu ya marehemu wasio na hatia isije ikakaa juu yangu na vizazi vyangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom