Kuondoa vyama tawala madarakani ni shughuli pevu hasa kwa nchi za Afrika. Vimekumpatia mfumo usio wa usawa na haki. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi viko chini yake. Uaoma kwa undani kwa nini na imekuwaje sasa pamoja na kumiliki vyombo vyote vinavyosimamia uchaguzi, vyombo vya usalama, mahakama n. k. Lakini bado vyama kadha tawala vimepokonywa madaraka na vyama pinzani utakubaliana na mimi kuwa kwa sababu hizo hizo hata CCM mwaka huu inaenda kuanguka. Wajuvi wa siasa za Afrika na za kimataifa kama akina mzee Kikwete wanaelewa CCM inaondoka madarakani. Misukosuko anayoipata Lissu anayeenda kuwa Rais wa nchi hiii itaendelea kuongezeka zaidi. Vyombo vya dola, NEC, watendaji wa serilali ni miguu iliyobeba limwili (CCM). Miguu hii lazima irushe mateke na mchinjaji (Lissu) ni wale wanaomsaidia lazima wajeruhiwe. Lakini yote kwa yote ng'ombe lazima afe.