Habari zenu wadau!
Niende kwenye mada moja kwa moja...
Inasemekana kuwa Chadema ni moja ya Chama ambacho kilipoanzishwa kiliogopewa sana hata na hayati mwalimu Nyerere.
Kuogopwa huku kulitokana...
Salaam wakuu,
Kila mtu anajua hali ya Kimtandao Watanzania tunayopitia.
Hivyo kama kuna mtu anapata tatizo kuingia JamiiForums, mpe hii link ili aungane nasi.
Asanteni
JamiiForums.live...
Katika makosa watayofanya wapinzani awamu hii ni kushiriki uchaguzi mkuu huu bila kujitathimini na kuweka mambo sawa yafuatayo
1. Je, bado wanakubalika na wananchi?
2. Je, wananchi bado wana...
Declaring interest...mimi ni mfuasi kindakindaki wa Rais Magufuli kuanzia 2015!
Natamka hadharani kuwa hadi sasa hajatokea mwanasiasa muadilifu anayeweza kuyumbisha juhudi,maamuzi ,mienendo...
Nchi za wenzetu eg.kenya na nigeria ujinga ujinga wa kudhulumiana kura umeshapitwa na wakati,just imagine maajabu ya Zanzibar mwenyekiti kapewa agizo na bosi wake afute uchaguzi.
Tutumie njia...
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema kuna majimbo manne ambayo uchaguzi wa madiwani haujafanyika.
Majimbo matatu Wagombea wamefariki na jimbo moja la...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.
Amewataka wananchi...
Kuna vitu vinajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi
ambavyo vinapaswa kuulizwa
je nikweli wananchi wa Tanzania ndio wasemaji wa mwisho wa masuala ya nchi hii?
au kuna watu kwa aakili zao na utashi...
MDOGO WANGU KANIAMBIA AMENIDHARAU KWA KUSEMA SITAMCHAGUA TUNDU LISU.
Na, Robert Heriel
Unajua mpaka siamini kabisa kwamba mdogo wangu wa kuzaliwa anaweza nambia maneno makali kama yale. Nina...
Ni muhimu Sana wakati huu kuwa makini na taharuki au hamaki. Madai ya uwepo wa "kura feki" hata Kama yanatolewa na watu makini na wenye akili ni lazima yachukuliwe kwa uzito unaostahili. Hata...
Hakuna uchaguzi wa huru na haki uliofanyika Leo. Hata ya mawakala ni ushahidi tosha kuwa uchaguzi batili.
Nini kifanyike? Hili ndilo la msingi.
Mahakama msiutegemee maana ni CCM! Nguvu ya umma...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida...
Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao.
Sijamsikia tena tokea siku hiyo.
Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au?
Na sijaona wala sijasikia popote...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila...
Leo ni siku muhimu sana kwetu Tanzania. Tunapata fursa nyengine muhimu ya kukubaliana na watawala, tunahitaji nini kwa miaka mitano ijayo.
Uchaguzi ni vita ya maneno, sera, hoja na mikakati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.