Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM.
Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema ametembelea Vituo kadhaa vya kupigia kura na hali ni shwari, jambo linaloashiria Watanzania wanaelewa umuhimi wa siku ya leo.
Ameomba utulivu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi.
Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa...
Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Mhe.Elisa Mungure amevamiwa na kushambuliwa na greenguard walioambatana na @tanpol
, Mhe. Mungure amejeruhiwa vibaya kwa...
Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.
Watu wameshapanga matokeo since day one na...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Kilwa...
Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake
Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa
Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa...
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.
Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura...
MASWALI MAGUMU
1. Ukiiba fedha ya umma unaitwa mwizi/fisadi. Ukiiba kura tukuiteje?
2. Ukilazimisha kufanya mapenzi na mtu unaitwa mbakaji, je ukilazimisha kumtawala mtu kinyume na mapenzi take...
Imefika wakati Vyama vya Upinzani ni lazima waheshimu watanzania. Vitendo vinavyo endelea katika uchaguzi huu vinaonesha namna wapinzani wanavyo dharau wananchi.
Jimbo la Kawe na Kigoma wameandaa...
We already did a poll. Now we are waiting for results, but it's sad some people are trying harder to cause breach of peace.
Damn, they can't do it.
I condemn for all those who are participating...
Kwa hali ilivyo uchaguzi wa mwaka huu wa Oktoba ni kama bomu linalosubiri kulipuka, usipoendeshwa kwa tahadhari Tanzania inaweza kuandika historia mpya.
Navikumbusha Vyombo vya Dola, Msajili wa...
Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.
Iziraeli atupishilie mbali.
Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.
Sala zetu...
Nyie makamanda, let me take y’all to task today.
Kama mnaamini kuwa Corona ipo na ni hatari kwa maisha ya wananchi..
Kama mnajidai kufuata sayansi na kukubali uwepo wa Corona na kumponda na...
Habari wana jukwaa.
Kwanza namshukuru Mungu kunipa uzima na kuniwezesha kutimiza haki na wajibu wangu kikatiba wa kupiga Kura.
Pia nitoe pongezi kwa Tume kwa jinsi zoezi hili muhimu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.