Upinzani msife moyo, manyanyaso ya Mawakala yanayoendelea vituo vya kupigia kura ni ushindi tosha. What next?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,002
Hakuna uchaguzi wa huru na haki uliofanyika Leo. Hata ya mawakala ni ushahidi tosha kuwa uchaguzi batili.

Nini kifanyike? Hili ndilo la msingi.

Mahakama msiutegemee maana ni CCM! Nguvu ya umma bado Tanzania.

What next?
 
Wapinzani hawawezi shinda chaguzi yoyote kama hakuna mabadiliko katika katba yetu. Imefika hatua adi wananchi wanasema ya nini kupiga kura ikiwa wameshaanda washindi
 
Nina uchungu sana moyoni. Hii dhuluma wanayoifanya CCM sijui adhabu gani wanastahili. Anyway acha tujinyamazie tu wafanye wanavyotaka. Wana majeshi, polisi so acha waendelee kututawala kwa mabavu mpaka pale Mungu atakapowaondosha.
 
Nyie makamanda kwani mlikuwa mna matarajio ya kuwepo uchaguzi ulio huru na wa haki?

Mnalialia kana kwamba mlikuwa hamjui what was coming!

Hapo ndipo mnapokera.
 
Nina uchungu sana moyoni. Hii dhuluma wanayoifanya ccm sijui adhabu gani wanastahili. Anyway acha tujinyamazie tu wafanye wanavyotaka. Wana majeshi, polisi so acha waendelee kututawala kwa mabavu mpaka pale Mungu atakapowaondosha.
Unajipa stress zisizo na Maana. Naanza kuamini humu mna vichaa wengi sana. Anaanza kujinyanyasa mwenyewe anasingizia ccm. Tundu Lisu mwenyewe kichaa mwenzenu kakili zoezi limeenda vizuri sana sasa nyinyi mnafeli wapo.
 
Hakuna uchaguzi wa huru na haki uliofanyika Leo. Hata ya mawakala ni ushahidi tosha kuwa uchaguzi batili.

Nini kifanyike? Hili ndilo la msingi.

Mahakama msiutegemee maana ni CCM! Nguvu ya umma bado Tanzania.

What next?
Maneno ya mwisho ya kishujaa haya!
 
LISSU ASIFU ZOEZI LA UPIGAJI KURA.

Mgombea Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu mchana kwenye Kituo cha Kijiji cha Mtewa Kilichopo kata ya Ntutu Wilayani Ikungi, Singida.

Tundu Lissu amesema "Nimetoka Dar es Salaam ili kuja kupiga kura mahali ambapo nilikuwa Mbunge kwa vipindi viwili, mahali ambapo nina marafiki wengi na hawa ni watu wangu kwahiyo nilitaka nije niwe pamoja na watu wangu kwenye zoezi hili muhimu katika nchi yetu. Zoezi limekwenda vizuri, nafikiri kwa jinsi nilivyoona utaratibu umekwenda vyema sana."
 
Unajipa stress zisizo na Maana. Naanza kuamini humu mna vichaa wengi sana. Anaanza kujinyanyasa mwenyewe anasingizia ccm. Tundu Lisu mwenyewe kichaa mwenzenu kakili zoezi limeenda vizuri sana sasa nyinyi mnafeli wapo.
Naomba usiniquote wewe mpumbavu. Huo uharamia wa kuingiza mabox ya kura yaliyopigwa unaona ndio ushindi? Pumbavu mjinga wewe.
 
Unajipa stress zisizo na Maana. Naanza kuamini humu mna vichaa wengi sana. Anaanza kujinyanyasa mwenyewe anasingizia ccm. Tundu Lisu mwenyewe kichaa mwenzenu kakili zoezi limeenda vizuri sana sasa nyinyi mnafeli wapo.
Wapi alipokiri…?lete ushahid wa Hilo usemalo
 
Hivi wale mashujaa waliomrestisha Karume 1972 walikwenda wapi huko Zanzibar? Mi nimekuwa nikitafuta jibu la swali hili tangu 1995. Hicho kizazi kiliondoka kabisa?
Hakuna uchaguzi wa huru na haki uliofanyika Leo. Hata ya mawakala ni ushahidi tosha kuwa uchaguzi batili.

Nini kifanyike? Hili ndilo la msingi.

Mahakama msiutegemee maana ni CCM! Nguvu ya umma bado Tanzania.

What next?
 
Nyani acha kukosoa tu. Toa solutions. Wapinzani unafikiri walikuwa na options zipi? Wakisusa, Shibuda na wenzie wanashiriki. Mahakamani hawawezi kwenda - ni kesi ya nyani hiyo. Kwenda msituni ni ngumu. Mass action haiwezekani kwa Watanzania waoga. Wangefanyaje akina Lissu na Maalim?
Nyie makamanda kwani mlikuwa mna matarajio ya kuwepo uchaguzi ulio huru na wa haki?

Mnalialia kana kwamba mlikuwa hamjui what was coming!

Hapo ndipo mnapokera.
 
Nyani acha kukosoa tu. Toa solutions. Wapinzani unafikiri walikuwa na options zipi? Wakisusa, Shibuda na wenzie wanashiriki. Mahakamani hawawezi kwenda - ni kesi ya nyani hiyo. Kwenda msituni ni ngumu. Mass action haiwezekani kwa Watanzania waoga. Wangefanyaje akina Lissu na Maalim?
Nitoe solution gani kwa sikio la kufa?

Endeleeni na ufaala wenu na mnastahili mnachokipata.
 
Hakuna uchaguzi wa huru na haki uliofanyika Leo. Hata ya mawakala ni ushahidi tosha kuwa uchaguzi batili.

Nini kifanyike? Hili ndilo la msingi.

Mahakama msiutegemee maana ni CCM! Nguvu ya umma bado Tanzania.

What next?
Mshapata sababu tayari? Ningeshangaa sana kama msingekuja na sababu.
 
Nyie makamanda kwani mlikuwa mna matarajio ya kuwepo uchaguzi ulio huru na wa haki?

Mnalialia kana kwamba mlikuwa hamjui what was coming!

Hapo ndipo mnapokera.
mkuu kwa hivyo we unataka upinzani usishiriki kabisa uchaguzi uwaachie ma ccm yashinde 100%?!.
Ni kweli kwa mazingira ya sasa kamwe hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na haki kwa viwango vyote, ila kutoshiriki kabisa ndio mbaya zaidi na hata ma ccm ndio yanavyotamani iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom