CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
CHADEMA nimeona mnalalamikia suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni.

Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leo leo.

Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
 
Ingekuwa ni mara ya kwanza hapo sawa, hii ishu ya mawakala wa upinzani sio ya leo wala ya jana, viongozi wako wanaona sawa tu.
 
Kwa katiba hii hakuna mahakama ya kuhoji matokeo ya Rais CCM wanajua hivyo ndo maana wanaruhusu hayo CCM inajua imepoteza uhalali wa kukubalika ndo maana inafanya hayo ili hayo yasitokee ni lazima nguvu iamue na kupata support kutoka jumuiya ya kimataifa
 
Kwa katiba hii hakuna mahakama ya kuhoji matokeo ya rais ccm wanajua hivyo ndo maana wanaruhusu hayo ccm inajua imepoteza uhalali wa kukubalika ndo maana inafanya hayo ili hayo yasitokee ni lazima nguvu iamue na kupata support kutoka jumuiya ya kimataifa

Umenena mjomba
 
CHADEMA nimeona mnalalamikoa suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni.

Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leoleo.

Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
Uzuri Rais Lissu ndio sector yake hiyo,
 
Mahakama kuu iliyopo kisutu au mahakama kuu ipi,mkuu Acha masihara kabisa

Kesi ya panya unapeleka kwa paka
 
Huu upuuzi lazima umalizwe rasmi, hautakiwi kuvumiliwa ndio itakuwa tabia yao kila siku.
 
Daah CDM kwishineiiiiiiii... na bado hiyo bado sio sababu ya kulalamika.. so mimi nawashauri tafteni sababu nyingine iliyo karbu na ukweli ili muwafariji makamanda walio ipigania CDM kwa siku 60!!!!

Ahsanteni kwa kushiriki..... wale wa membe wakipata kura laki mbili nahama mtaa
 
Hawa viongozi wa Upinzani nadhani hawajajua bado waTz tunataka nini! Hatua zingeshachukuliwa mapeema kabisa yaani
Naona bado wanalalamika tuu bila jitahada yoyote
 
Ni nguvu ya umma ndo itakayotoa suluhisho la kudumu kwenye hilo. Usitegemee utapata chochote kwenye mahakama za Tanzania

Tunasubiri viongozi wa CHADEMA watuambie tu. Ni mass riot tu na tuko tayari kujitokeza
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom