Uchaguzi 2020 Njombe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,978
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Njombe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:

Lupembe:

SWALLE EDWIN ENOSY - Amepita bila kupingwa

Makambako
Deo Sanga (CCM)

Njombe Mjini
Deodatus Mwanyika (CCM)

Makete

Festo Sanga (CCM) - Kura 24,237
Ahadi Mtweve - (CHADEMA) - Kura 5,077

Wanging'ombe
Dkt. Festo Dugange (CCM) - Kura 38,988
Adrea Luhwago (Chadema) - Kura 4,381

Ludewa: KAMONGA JOSEPH ZACHARIUS - Amepita bila kupingwa

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Back
Top Bottom