Airtel, Vodacom, tiGO na Halotel wathibitika kuzuia wateja wao kuiona JamiiForums.com. Mbadala ni huu...

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Salaam wakuu,

Kila mtu anajua hali ya Kimtandao Watanzania tunayopitia.

Hivyo kama kuna mtu anapata tatizo kuingia JamiiForums, mpe hii link ili aungane nasi.

Asanteni

JamiiForums.live

photo_2020-10-28_19-46-30.jpg

Vodacom, tiGO na Halotel wamethibitika kuzuia wateja wao kuiona JamiiForums

3B522140-1ABE-4495-BFD4-1DD42D89B76A.jpeg

327BA3B9-5161-4B17-80F7-A74AFF1F1D1C.jpeg

C1F91EA8-3276-48AA-B3DA-E12B6674F973.jpeg
3B522140-1ABE-4495-BFD4-1DD42D89B76A.jpeg

FB1D2C76-35F1-4C9B-AACF-3C2D63500A55.jpeg
 
Poleni sana Tanzania ina maana CCM wamekata njia zote za kupeana mawasiliano kuhusu uchaguzi. Very sad.
Utawala wa Tanzania chini ya CCM ni utawala wa kishetani. Na shetani hanaga rafiki wa kudumu, leo hii hadi makada ya CCM yanahaha kuomba link ya kudownload VPN app, maana hata wao hawana internet.

Kuanzia Pole Pole, Magu, Bashiru wote wanatumia internet kupitia VPN app, halafu wanajifanya hawajui kinachoendelea.
 
Hii itakua solution ya muda mfupi, maana watafanya kuiongeza tu kwenye blacklist.
 
Utawala wa Tanzania chini ya CCM ni utawala wa kishetani. Na shetani hanaga rafiki wa kudumu, leo hii hadi makada ya CCM yanahaha kuomba link ya kudownload VPN app, maana hata wao hawana internet.

Kuanzia Pole Pole, Magu, Bashiru wote wanatumia internet kupitia VPN app, halafu wanajifanya hawajui kinachoendelea.
Nisaidie na mm link ya vPN
 
Back
Top Bottom