Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,598
2,000
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.

Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu

Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?

Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unaosemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe. @TunduALis ( 359 X 640 ).jpg

Graph Theory

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,672
2,000
Leo nilienda kuthibitisha hoja aliyopaswa aitoe Polepole(ajabu ikatolewa na mwenye mamlaka zaidi ya uenezaji propaganda) kuwa picha za upinzani ni za mwaka 2015, leo nimejuwa kuwa ni halisi.

Hiyo nyomi ya Geita, hata ile ya Lowasa 2015 haiingii. Vibe lote.

Kweli uchaguzi ukiwa huru, mjenga barabara anaweza kwenda kujenga ya kijijini kwake tu.
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,818
2,000
Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!

Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!

Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!

Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,598
2,000
Labda niandike nilichokificha ili uelewe vizuri uzi huu , kabla ya ujio wa Lissu watu wa Geita walikuwa wanatangaziwa kwa kisukuma kwamba Kuhudhuria mkutano wa Lissu ni Usaliti , ikiwa kama Magufuli anatakiwa kiasi unachokisema ilikuwaje jambo hili litangazwe kwa umma ? hata hivyo wananchi wamepuuza kinyama
 
MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,331
2,000
,
Chiiiiiiiiii! wewe hutujui vizuri wasukuma,
Dugitanaga " gubodelejiwa" bhugwelela bhudogo ebheeee
 
Jor zoom

Member
Nov 13, 2018
38
125
Hivi wewe
Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!

Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!

Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!

Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Unakicuaaa?🤔🤔 Au ndio kusema unatuonesha uepo wako hapa jukwaani🤣🤣🤣🤣
 
infinix

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
1,990
2,000
Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!

Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!

Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!

Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Tamko chonganishi.

Nikuletee kuku ama samaki mkubwa??
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,044
2,000
Watu wanakwenda kwenye mikutano ya TundA Lisu kupoteza muda na kutizama Futuhi!
TundA ana vichekesho sana... Eti anawahutubia wakulima kuhusu tozo za mazao na wakati Magufuli alishazifuta tangu zamani za kale!
Kwa Tundu lissu wanaenda kusikiliza hoja, CCM wanajaza viwanja kwa kuwapelekea show ya bure ya kuona wasanii.

Lissu hana msanii na anajaza viwanja kama nye ,je nye mgezunguka bila msanii halafu lissu azunguke na kina diamond nani angeenda kwenye mkutano wa CCM?

Lissu yuko peke yake ,CCM wasanii karibia 30 mkutano moja lakini watu sawa na lissu ,bado siku ya mkutano wanafunzi mnawatoa madarasani wajaze uwanja na kubeba watu kwa malori
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom